Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAYLOR SWIFT AKIMBIZA TUZO ZA BILLBOARD 2015, ATWAA 8 KATI YA 14

Msanii Taylor Swift wakati akipokea mojawapo ya tuzo zake jana. MSANII wa Marekani, Taylor Swift ametwaa tuzo nane za Billboard kati ya 14 alizokuwa akishindania. Zoezi hilo la utoaji tuzo lilifanyika jana katika Ukumbi wa MGM Grand uliopo Las Vegas, Marekani. Washereheshaji katika tuzo hizo Ludacris na Chrissy Teigen. Washereheshaji katika utoaji tuzo hizo walikuwa mwanamuziki Ludacris na Chrissy Teigen. Mwanamuziki Sam… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Taylor Swift ang'ara tuzo za Billboards

Mwanamuziki nyota Taylor Swift ameshinda tuzo nyingi katika sherehe za tuzo za muziki za BillBoard baada ya kushinda nane kati ya 14 alizoteuliwa kugombea.

 

9 years ago

Mtanzania

Taylor Swift ang’ara tuzo Marekani

taylor_swift_MWANAMUZIKI Taylor Swift ametajwa kugombea katika vipengele sita vya tuzo za muziki za American Music Awards (AMAs) za huko Marekani.

Taylor amewapiku The Weekend na Ed Sheeran, waliotajwa katika vipengele vitano, Nicki Minaj, Sam Smith
na Meghan Trainor, wametajwa mara nne ambapo Drake, Chris Brown na Fetty Wap wametajwa mara mbili.

Sherehe za utolewaji tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Novemba 22 mwaka huu...

 

9 years ago

Bongo5

Orodha ya wanaowania American Music Awards 2015, Taylor Swift aongoza

Orodha ya wasanii wanaowania American Music Awards 2015 yametangazwa, ambapo mwimbaji Taylor Swift ndiye mwenye nominations nyingi zaidi akiwa anawania vipengele sita ikiwa ni pamoja na msanii bora wa mwaka. Jennifer Lopez ndiye atakuwa host wa tuzo hizo kwa mwaka huu, ikiwa ni mara yake ya kwanza kupata nafasi hiyo. Tuzo za AMAs zitatolewa Nov.22. […]

 

9 years ago

Mtanzania

Adele akimbiza kwenye chati za Billboard

Adele.NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Adele Adkins, anamaliza mwaka kwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard kwa wiki nne.

Katika chati hiyo kulikuwa na albamu 200 ambazo zilikuwa zinashindanishwa, lakini Adele amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye ushindani huo kwa wiki nne.

Mkali huyo wa sauti amesema ni furaha kwake kuona kazi zake zikikubalika na idadi kubwa ya watu duniani na ndiyo maana ameweza kukaa kwa muda mrefu ambapo sio kawaida kutokana na...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA KATIKA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA 2015

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa mara sita katika kuwania Tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika huko Dallas nchini Marekani Mwezi Oktoba 2015. Diamond Platnumz. Vipengele anavyowania staa huyo ni pamoja na: 1. Best Artist Of the Year
2. Best Dance Video (Nana)
3. Best Video (Ntampata Wapi)
4. Best East Artist of the Year
5. Best Collaboration (Nana)
6. Song of the Year (Ntampata Wapi) Msanii huyo pia anawania...

 

10 years ago

Bongo5

Taylor Swift na Calvin Harris wawapiku Beyonce na Jay Z kama ‘couple maarufu’ iliyoingiza fedha nyingi 2015

Taylor Swift na Calvin Harris wametajwa na Forbes kuwa couple maarufu iliyoingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2015 na kuwaondoa Beyonce na Jay Z kwenye nafasi hiyo. Swift na Harris wameingiza kwa pamoja dola milioni 146 mwaka jana ukilinganisha na Bey na Jay waliokamatana nafasi ya pili kwa kuingiza dola milioni 110.5. Album ya Swift 1989 […]

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA RED CARPET KATIKA UTOAJI TUZO ZA BILLBOARD 2015 NCHINI MAREKANI

Lauren Jauregui, Ally Brooke, Normani Hamilton, Dinah-Jane Hansen na Camila Cabello wa Fifth Harmony wakiwa kwenye pozi. Wiz Khalifa akiwasili ndani ya Ukumbi wa MGM Grand kwa ajili ya tuzo hizo.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo atwaa tuzo ya FIFA Duniani 2015

Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo ameibuka mshindi katika tuzo ya FIFA kama mwanasoka bora duniani mwaka 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani