Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taylor Swift ang’ara tuzo Marekani

taylor_swift_MWANAMUZIKI Taylor Swift ametajwa kugombea katika vipengele sita vya tuzo za muziki za American Music Awards (AMAs) za huko Marekani.

Taylor amewapiku The Weekend na Ed Sheeran, waliotajwa katika vipengele vitano, Nicki Minaj, Sam Smith
na Meghan Trainor, wametajwa mara nne ambapo Drake, Chris Brown na Fetty Wap wametajwa mara mbili.

Sherehe za utolewaji tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Novemba 22 mwaka huu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Taylor Swift ang'ara tuzo za Billboards

Mwanamuziki nyota Taylor Swift ameshinda tuzo nyingi katika sherehe za tuzo za muziki za BillBoard baada ya kushinda nane kati ya 14 alizoteuliwa kugombea.

 

10 years ago

GPL

TAYLOR SWIFT AKIMBIZA TUZO ZA BILLBOARD 2015, ATWAA 8 KATI YA 14

Msanii Taylor Swift wakati akipokea mojawapo ya tuzo zake jana. MSANII wa Marekani, Taylor Swift ametwaa tuzo nane za Billboard kati ya 14 alizokuwa akishindania. Zoezi hilo la utoaji tuzo lilifanyika jana katika Ukumbi wa MGM Grand uliopo Las Vegas, Marekani. Washereheshaji katika tuzo hizo Ludacris na Chrissy Teigen. Washereheshaji katika utoaji tuzo hizo walikuwa mwanamuziki Ludacris na Chrissy Teigen. Mwanamuziki Sam… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lupita ang'ara katika tuzo za wasanii

Mara yake ya pili katika Red Carpet ilikuwa siku ya jumapili usiku ambapo maonyesho ya tuzo la wasanii wa Filamu SAG yalifanyika

 

9 years ago

Habarileo

Mo Dewji ang’ara tuzo wafanyabiashara Afrika

BILIONEA anayemiliki kampuni kubwa ya Mohammed Enterprises nchini (MeTL), Mohammed Dewji ‘Mo’ ameshinda Tuzo ya Mfanyabiashara wa Mwaka anayejitoa zaidi kuisaidia jamii kunufaika, kutokana na biashara zake, akiwa mshindi wa Afrika, Kanda ya nchi za Afrika Mashariki katika tuzo zilizofanyika juzi jijini Nairobi, Kenya.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO

Na Mwandishi Watu
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake kuonyesha utendaji kazi wa hali ya juu.
Tuzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa ufanisi. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hilton jijini...

 

10 years ago

Mtanzania

Ali Kiba ang’ara tuzo za muziki Tanzania 2015

AlikibaNa Festo Polea
MSANII Ali Kiba anayetamba na wimbo wa ‘Mwana’ na ‘Chekecha’, ameng’ara usiku wa juzi kwa kunyakua tuzo sita za muziki Tanzania zilizotolewa katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuzo alizonyakua ni wimbo bora wa Afro Pop, mtunzi bora wa mwaka Bongo Fleva, mtumbuizaji bora wa muziki wa mwaka wa kiume, mwimbaji bora wa kiume Bongo Fleva, wimbo bora wa mwaka na wimbo bora wa kushirikishwa na Mwana FA.
Katika tuzo hizo zilizoongozwa na mtangazaji wa kituo cha redio,...

 

10 years ago

Africanjam.Com

WHAT YOU DON'T KNOW ABOUT TAYLOR SWIFT


Taylor SwiftTaylor Swift is the biggest star in the music industry right now, judging by the numbers of her best-selling 1989album. While we are well aware of many aspects of T. Swizzle’s life based on her song lyrics, there’s plenty about Taylor Alison Swift that you don’t know. 
Such as…





1. She is super associated with Nashville aka Music City but Swift was born and raised in Pennsylvania first, on a Christmas tree farm. How scenic!
Taylor SwiftPhoto: Dimitrios Kambouris, Getty Images



2. She once won a local talent...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani