WAZIRI KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-cqlZc62nsZg/U-w1THNmgCI/AAAAAAAAoj8/tCOF02LnIWA/s72-c/tzzz.jpg)
Na Mwandishi Watu
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake kuonyesha utendaji kazi wa hali ya juu.
Tuzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa ufanisi. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hilton jijini...
Michuzi