Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adele akimbiza kwenye chati za Billboard

Adele.NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Adele Adkins, anamaliza mwaka kwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard kwa wiki nne.

Katika chati hiyo kulikuwa na albamu 200 ambazo zilikuwa zinashindanishwa, lakini Adele amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye ushindani huo kwa wiki nne.

Mkali huyo wa sauti amesema ni furaha kwake kuona kazi zake zikikubalika na idadi kubwa ya watu duniani na ndiyo maana ameweza kukaa kwa muda mrefu ambapo sio kawaida kutokana na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard

Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita. Nicki amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200

Album mpya ya Janet Jackson iitwayo ‘Unbreakable’ imekamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200, na kuweka rekodi ya kuwa album ya saba ya mwimbaji huyo kushika namba moja kwenye chati hizo. Album hiyo iliyotoka October 2, 2015 imeuza nakala 116,000 katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen Music. ‘Unbreakable’ ni album […]

 

10 years ago

GPL

TAYLOR SWIFT AKIMBIZA TUZO ZA BILLBOARD 2015, ATWAA 8 KATI YA 14

Msanii Taylor Swift wakati akipokea mojawapo ya tuzo zake jana. MSANII wa Marekani, Taylor Swift ametwaa tuzo nane za Billboard kati ya 14 alizokuwa akishindania. Zoezi hilo la utoaji tuzo lilifanyika jana katika Ukumbi wa MGM Grand uliopo Las Vegas, Marekani. Washereheshaji katika tuzo hizo Ludacris na Chrissy Teigen. Washereheshaji katika utoaji tuzo hizo walikuwa mwanamuziki Ludacris na Chrissy Teigen. Mwanamuziki Sam… ...

 

9 years ago

Bongo5

‘Hello’ ya Adele yavunja rekodi nyingine ya Billboard

adele-25-coverMwimbaji wa Uingereza, Adele anaendelea kuweka historia kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’. Ikiwa ni wiki moja na siku nne toka ‘Hello’ iachiwe rasmi Oct.23, wimbo huo umeweka rekodi nyingine. Wimbo huo umevunja rekodi ya Billboard kwa kupakuliwa mara milioni 1.1, na kuwa ndio wimbo uliopata downloads nyingi zaidi ndani ya wiki moja. Rekodi hiyo hapo […]

 

9 years ago

Bongo5

Ngoma moja tu inanirudisha kwenye chati – Z Anto

Z Anto

Z Anto amesema wimbo mmoja tu unaweza kurudisha heshima yake kama atazingatia vitu vinavyohitajika kwenye muziki.

Z Anto

Akizungumza na Bongo5, Z Anto alisema bado ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwakuwa anaamini hakuna kitu kikubwa kilichobadilika.

“Siku zote huwa nachoamini kuwa kurudi kwa msanii wa aina yoyote huwa kunakuja kwa kazi moja peke yake. Kwahiyo suala la kurudi katika hatua ambayo niliiacha sio kazi kubwa kihivyo kwa sababu ubora wa kazi moja peke yake unaweza kunirudisha kwenye...

 

9 years ago

MillardAyo

Video 5 za juu kwenye chati ya RNB Trace TV ziko hapa….

Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani  muziki wa kizazi cha sasa, leo December 22, 2015 kilitoa list ya video za nyimbo bora za RNB ambazo kwenye hii countdown zipo 5. 5.Alessia Cara- Here 4.Post Malone – White […]

The post Video 5 za juu kwenye chati ya RNB Trace TV ziko hapa…. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

GoodNews ni hapa ilipofikia video ya #Game ya Navy Kenzo kwenye chati za MTV Base

Wasanii wawili wanaounda kundi la Navy Kenzo (Aika & Nahreel) wanazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wao Game waliyomshirikisha Vanessa Mdee kuendelea kushika  nafasi ya kwanza kwenye chati za MTV Base. Huku wakizishinda video 7 zilizoingia katika chati hiyo ya MTV Base. 7.Tecno – Duro 6.Joh Makini – Don’t Bother ft AKA 5.Cassper […]

The post GoodNews ni hapa ilipofikia video ya #Game ya Navy Kenzo kwenye chati za MTV Base appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani