Ngoma moja tu inanirudisha kwenye chati – Z Anto
Z Anto amesema wimbo mmoja tu unaweza kurudisha heshima yake kama atazingatia vitu vinavyohitajika kwenye muziki.
Akizungumza na Bongo5, Z Anto alisema bado ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwakuwa anaamini hakuna kitu kikubwa kilichobadilika.
“Siku zote huwa nachoamini kuwa kurudi kwa msanii wa aina yoyote huwa kunakuja kwa kazi moja peke yake. Kwahiyo suala la kurudi katika hatua ambayo niliiacha sio kazi kubwa kihivyo kwa sababu ubora wa kazi moja peke yake unaweza kunirudisha kwenye...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo505 Feb
Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Adele akimbiza kwenye chati za Billboard
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Adele Adkins, anamaliza mwaka kwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard kwa wiki nne.
Katika chati hiyo kulikuwa na albamu 200 ambazo zilikuwa zinashindanishwa, lakini Adele amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye ushindani huo kwa wiki nne.
Mkali huyo wa sauti amesema ni furaha kwake kuona kazi zake zikikubalika na idadi kubwa ya watu duniani na ndiyo maana ameweza kukaa kwa muda mrefu ambapo sio kawaida kutokana na...
10 years ago
Bongo520 Dec
Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Video 5 za juu kwenye chati ya RNB Trace TV ziko hapa….
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa, leo December 22, 2015 kilitoa list ya video za nyimbo bora za RNB ambazo kwenye hii countdown zipo 5. 5.Alessia Cara- Here 4.Post Malone – White […]
The post Video 5 za juu kwenye chati ya RNB Trace TV ziko hapa…. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/WNMZ7sFGKps/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo16 Dec
GoodNews ni hapa ilipofikia video ya #Game ya Navy Kenzo kwenye chati za MTV Base
Wasanii wawili wanaounda kundi la Navy Kenzo (Aika & Nahreel) wanazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wao Game waliyomshirikisha Vanessa Mdee kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za MTV Base. Huku wakizishinda video 7 zilizoingia katika chati hiyo ya MTV Base. 7.Tecno – Duro 6.Joh Makini – Don’t Bother ft AKA 5.Cassper […]
The post GoodNews ni hapa ilipofikia video ya #Game ya Navy Kenzo kwenye chati za MTV Base appeared first on...
9 years ago
Bongo513 Oct
Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200
9 years ago
Bongo511 Nov
‘Selfie’ yamrudisha Koffi Olomide kwenye chati, azungumzia ndoto ya kuwa ‘Rais wa Afrika’
![11429493_1452487665073871_1410855431_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11429493_1452487665073871_1410855431_n-300x194.jpg)
Koffie Olomide amerudi tena kwenye chati za muziki barani Afrika tangu aachie wimbo wake mpya, Selfie katikati ya mwezi uliopita.
Kama unasikiliza redio na kutazama TV za Tanzania utakubaliana nasi kuwa wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zinazochezwa zaidi kwa sasa.
Selfie unafanya vizuri katika bara lote la Afrika na nchi za Ulaya zikiwemo Ufaransa, Ubelgiji na Canada na umeweza kuwavutia mashabiki wengi vijana tofauti na nyimbo zake za hivi karibuni.
Mastaa akiwemo Didier Drogba...
9 years ago
Bongo531 Aug
‘Game’ ya Navy Kenzo yazidi kushika chati Nigeria, yakamata namba 1 kwenye Top 10 ya Radio nyingine ya Lagos