‘Selfie’ yamrudisha Koffi Olomide kwenye chati, azungumzia ndoto ya kuwa ‘Rais wa Afrika’
Koffie Olomide amerudi tena kwenye chati za muziki barani Afrika tangu aachie wimbo wake mpya, Selfie katikati ya mwezi uliopita.
Kama unasikiliza redio na kutazama TV za Tanzania utakubaliana nasi kuwa wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zinazochezwa zaidi kwa sasa.
Selfie unafanya vizuri katika bara lote la Afrika na nchi za Ulaya zikiwemo Ufaransa, Ubelgiji na Canada na umeweza kuwavutia mashabiki wengi vijana tofauti na nyimbo zake za hivi karibuni.
Mastaa akiwemo Didier Drogba...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Oct
Video: Koffi Olomide — Selfie
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Koffi Olomide kufanya shoo ya Selfie leo Dar
NA CHRISTOPHER MSEKENA
WAKATI mwanamuziki mkongwe katika muziki wa dansi anayetokea Congo, Koffi Olomide akitarajiwa kufanya onyesho la nguvu leo usiku, mmiliki na mwanamuziki wa bendi ya Malaika, Christian Bella, amewataka wasanii wawe makini kufuatilia onyesho lake ili wajifunze kitu kutoka kwa mwanamuziki huyo.
Christian Bella alisema wasanii wanatakiwa kuiga na kujifunza namna ya utumbuizaji na siri ya kuendelea kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu kwa mkongwe huyo anayetarajiwa kufanya...
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
9 years ago
Bongo512 Nov
Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide
![didier-drogba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/didier-drogba-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.
Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.
Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’
Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...
9 years ago
Bongo501 Dec
Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo
![Bella na Koffi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Bella-na-Koffi-300x194.jpg)
Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.
Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.
“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Walichofanya kwenye stage Dar Koffi Olomide, WEUSI, Navy Kenzo, Young D, Belle 9, MwanaFA na wengine
Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC Koffi Olomide aliimiliki stage kwa zaidi ya dakika 60, zitazame show zenyewe hapa chini… KOFFI OLOMIDE LIVE IN DAR ES SALAAM… ON STAGE: WEUSI, MAUA, MwanaFA, BLUE, BELLE 9, DIMPOZ, MSAMI NA WENGINE […]
The post Walichofanya kwenye stage Dar Koffi Olomide, WEUSI, Navy Kenzo, Young D, Belle 9, MwanaFA na wengine appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Nilimpotezea koffi olomide
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Koffi Olomide kutimiza miaka 58
Koffi Olomode ni msomi mwenye Shahada aliyeamua kuweka pembeni usomi wake na kupanda jukwaani akiimba na kunengua. Mungu ni mwingi wa rehma iwapo atamfikisha Julai 13, 2014, Koffi Antonie Olomide atatimiza miaka 58 ya kuzaliwa kwake.
Olomide alizaliwa Julai 13, 1956 katika mji wa Kisangani, uliopo Kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Koffi mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sierra Leone. Akiwa amezaliwa na Mama raia wa Kongo akitokea katika kabila la...