Koffi Olomide kutimiza miaka 58
Koffi Olomode ni msomi mwenye Shahada aliyeamua kuweka pembeni usomi wake na kupanda jukwaani akiimba na kunengua. Mungu ni mwingi wa rehma iwapo atamfikisha Julai 13, 2014, Koffi Antonie Olomide atatimiza miaka 58 ya kuzaliwa kwake.
Olomide alizaliwa Julai 13, 1956 katika mji wa Kisangani, uliopo Kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Koffi mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sierra Leone. Akiwa amezaliwa na Mama raia wa Kongo akitokea katika kabila la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo501 Dec
Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo
![Bella na Koffi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Bella-na-Koffi-300x194.jpg)
Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.
Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.
“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Nilimpotezea koffi olomide
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
9 years ago
Bongo529 Oct
Video: Koffi Olomide — Selfie
9 years ago
TheCitizen11 Dec
Koffi Olomide owned the stage in Dar
9 years ago
Bongo510 Nov
Christian Bella afanya kolabo na Koffi Olomide
![12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n-300x194.jpg)
Christian Bella ameingia studio na kufanya kolabo na msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide.
Christian Bella na Koffi wakiwa studio
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Bella ameshare picha akiwa na Koffi studio na kuandika: Tumemaliza kurecord audio na koffi olomide asante Mungu.
Bella akiwa na Koffi Olomide
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff1i6t9o0uGh8wf*q7ytz9lUn1GImE9eNZJ9LI-d4l-g7BngU8gboAkSFSv2AZjO8Du3STX9MTIOkmUzvna9RwHt/Koffi_olomide_Abracadabra_album_20111200.jpg?width=650)
KOFFI OLOMIDE, NG’OMBE ASIYEZEEKA MAINI
10 years ago
Bongo501 Apr
New Video: J. Martins Ft Koffi Olomide — Dance 4 Me Remix
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Koffi Olomide kufanya shoo ya Selfie leo Dar
NA CHRISTOPHER MSEKENA
WAKATI mwanamuziki mkongwe katika muziki wa dansi anayetokea Congo, Koffi Olomide akitarajiwa kufanya onyesho la nguvu leo usiku, mmiliki na mwanamuziki wa bendi ya Malaika, Christian Bella, amewataka wasanii wawe makini kufuatilia onyesho lake ili wajifunze kitu kutoka kwa mwanamuziki huyo.
Christian Bella alisema wasanii wanatakiwa kuiga na kujifunza namna ya utumbuizaji na siri ya kuendelea kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu kwa mkongwe huyo anayetarajiwa kufanya...