Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: J. Martins Ft Koffi Olomide — Dance 4 Me Remix

Video mpya ya msanii kutoka Nigeria J. Martins akimshirikisha Koffi Olomide kutoka DRC Congo wimbo unaitwa “Dance 4 Me Remix”

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: J.Martins aingia studio kufanya collabo na Koffi Olomide

Staa wa Nigeria ambaye amewahi kufanya collabo na wasanii wa Tanzania AY na Ommy Dimpoz, J.Martins ameingia studio kufanya collabo na mkongwe kutoka D.R.C, Koffi Olomide. Martins ameshare picha Facebook akiwa na legend huyo na kuandika ujumbe kuwa anaamini muziki ni kitu kinachotuunganisha Waafrika, hivyo Kazi yake ni kutengeneza muziki ambao utawaunganisha waafrika, na kuionesha […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Koffi Olomide — Selfie

Video mpya ya mkongwe wa mziki wa Bolingo kutoka Konngo Koffi Olomide, Wimbo ambao unafanya vizuri saivi unaitwa “Selfie” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo

Bella na Koffi

Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.

Bella na Koffi

Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.

“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide

didier-drogba

Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.

Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.

Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’

Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...

 

9 years ago

MillardAyo

Tazama video ya Koffi Olomide on stage Dar es salaam akitumbuiza ‘selfie’ na nyingine

Video ya show yake ilishapanda kwenye channel ya millardayo Youtube lakini kukatokea tatizo kidogo, hii ni mpya nimeiweka saa kadhaa zilizopita kama hukuiona, full video ndio hii hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio […]

The post Tazama video ya Koffi Olomide on stage Dar es salaam akitumbuiza ‘selfie’ na nyingine appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Nilimpotezea koffi olomide

Miongoni mwa wanamuziki wa dansi wanaotamba hivi sasa hapa nchini bila shaka Christian Bella ni mmoja wa wasanii hao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Koffi Olomide kutimiza miaka 58

Koffi_olomide_Abracadabra_album_20111200

Koffi Olomode ni msomi mwenye Shahada aliyeamua kuweka pembeni usomi wake na kupanda jukwaani akiimba na kunengua. Mungu ni mwingi wa rehma iwapo atamfikisha Julai 13, 2014,  Koffi Antonie Olomide atatimiza miaka 58 ya kuzaliwa kwake.

Olomide alizaliwa Julai 13, 1956  katika mji wa Kisangani, uliopo Kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Koffi mwenye asili ya  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sierra Leone. Akiwa amezaliwa na Mama raia wa  Kongo akitokea katika kabila la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani