Video mpya ya Koffi Olomide — Selfie (Clip Officiel)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Oct
Video: Koffi Olomide — Selfie
9 years ago
Bongo512 Nov
Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide
Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.
Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.
Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’
Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Koffi Olomide kufanya shoo ya Selfie leo Dar
NA CHRISTOPHER MSEKENA
WAKATI mwanamuziki mkongwe katika muziki wa dansi anayetokea Congo, Koffi Olomide akitarajiwa kufanya onyesho la nguvu leo usiku, mmiliki na mwanamuziki wa bendi ya Malaika, Christian Bella, amewataka wasanii wawe makini kufuatilia onyesho lake ili wajifunze kitu kutoka kwa mwanamuziki huyo.
Christian Bella alisema wasanii wanatakiwa kuiga na kujifunza namna ya utumbuizaji na siri ya kuendelea kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu kwa mkongwe huyo anayetarajiwa kufanya...
9 years ago
Bongo511 Nov
‘Selfie’ yamrudisha Koffi Olomide kwenye chati, azungumzia ndoto ya kuwa ‘Rais wa Afrika’
Koffie Olomide amerudi tena kwenye chati za muziki barani Afrika tangu aachie wimbo wake mpya, Selfie katikati ya mwezi uliopita.
Kama unasikiliza redio na kutazama TV za Tanzania utakubaliana nasi kuwa wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zinazochezwa zaidi kwa sasa.
Selfie unafanya vizuri katika bara lote la Afrika na nchi za Ulaya zikiwemo Ufaransa, Ubelgiji na Canada na umeweza kuwavutia mashabiki wengi vijana tofauti na nyimbo zake za hivi karibuni.
Mastaa akiwemo Didier Drogba...
9 years ago
Bongo501 Dec
Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo
Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.
Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.
“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...
10 years ago
Bongo501 Apr
New Video: J. Martins Ft Koffi Olomide — Dance 4 Me Remix
10 years ago
Vijimambo9 years ago
MillardAyo17 Dec
Tazama video ya Koffi Olomide on stage Dar es salaam akitumbuiza ‘selfie’ na nyingine
Video ya show yake ilishapanda kwenye channel ya millardayo Youtube lakini kukatokea tatizo kidogo, hii ni mpya nimeiweka saa kadhaa zilizopita kama hukuiona, full video ndio hii hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio […]
The post Tazama video ya Koffi Olomide on stage Dar es salaam akitumbuiza ‘selfie’ na nyingine appeared first on...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Nilimpotezea koffi olomide