Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide
Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.
Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.
Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’
Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...
Bongo5
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania