Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nilimpotezea koffi olomide

Miongoni mwa wanamuziki wa dansi wanaotamba hivi sasa hapa nchini bila shaka Christian Bella ni mmoja wa wasanii hao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo

Bella na Koffi

Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.

Bella na Koffi

Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.

“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Koffi Olomide — Selfie

Video mpya ya mkongwe wa mziki wa Bolingo kutoka Konngo Koffi Olomide, Wimbo ambao unafanya vizuri saivi unaitwa “Selfie” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

5 years ago

Raia Mwema

Koffi Olomide angefukuzwa Dar?

Koffi Olomide ameingia matatani wiki hii nchini Kenya.

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Dewji Blog

Koffi Olomide kutimiza miaka 58

Koffi_olomide_Abracadabra_album_20111200

Koffi Olomode ni msomi mwenye Shahada aliyeamua kuweka pembeni usomi wake na kupanda jukwaani akiimba na kunengua. Mungu ni mwingi wa rehma iwapo atamfikisha Julai 13, 2014,  Koffi Antonie Olomide atatimiza miaka 58 ya kuzaliwa kwake.

Olomide alizaliwa Julai 13, 1956  katika mji wa Kisangani, uliopo Kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Koffi mwenye asili ya  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sierra Leone. Akiwa amezaliwa na Mama raia wa  Kongo akitokea katika kabila la...

 

9 years ago

TheCitizen

Koffi Olomide owned the stage in Dar

From what can be translated as ‘entertainment thirst’ among Dar es Salaam residents, Escape One, the venue where legendary Congolese musician, Koffi Olomide, was set to perform was already packed to the brim by 8:00pm on Tuesday night. Dar revellers had gone to witness Koffi’s known entertaining live performance in an event that was known as ‘Selfie16 na Koffi’.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: J. Martins Ft Koffi Olomide — Dance 4 Me Remix

Video mpya ya msanii kutoka Nigeria J. Martins akimshirikisha Koffi Olomide kutoka DRC Congo wimbo unaitwa “Dance 4 Me Remix”

 

9 years ago

GPL

KOFFI OLOMIDE, NG’OMBE ASIYEZEEKA MAINI

Mwanamuziki, Koffi Olomide. Andrew Carlos MWAKA 1950, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alitokea msanii wa muziki wa Soukous (Lingala/Rumba ya Kongo), Verkys Kiamuangana Mateta ambaye aliitetemesha Kongo akiwa na Bendi ta TPOK Jazz. Verkys hakudumu sana kwenye Bendi ya TPOK Jazz kwani alitamani kuwa na bendi yake mwenyewe ambapo mwaka 1960 alifanikiwa kumiliki bendi ya Orchestre Vévé na haikuishia hapo, miaka kumi...

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella afanya kolabo na Koffi Olomide

12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n

Christian Bella ameingia studio na kufanya kolabo na msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide.

12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n
Christian Bella na Koffi wakiwa studio

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Bella ameshare picha akiwa na Koffi studio na kuandika: Tumemaliza kurecord audio na koffi olomide asante Mungu.

Bella akiwa na Koffi Olomide
Bella akiwa na Koffi Olomide

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Christian Bella f/ Koffi Olomide – Acha Kabisa

acha kabisa artwork

Ngoma ya Christian Bella aliyomshirikisha Koffi Olomide imetoka. Inaitwa Acha Kabisa. Isikie hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani