Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: J.Martins aingia studio kufanya collabo na Koffi Olomide

Staa wa Nigeria ambaye amewahi kufanya collabo na wasanii wa Tanzania AY na Ommy Dimpoz, J.Martins ameingia studio kufanya collabo na mkongwe kutoka D.R.C, Koffi Olomide. Martins ameshare picha Facebook akiwa na legend huyo na kuandika ujumbe kuwa anaamini muziki ni kitu kinachotuunganisha Waafrika, hivyo Kazi yake ni kutengeneza muziki ambao utawaunganisha waafrika, na kuionesha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo

Bella na Koffi

Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.

Bella na Koffi

Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.

“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...

 

9 years ago

Bongo5

Damian Soul aingia studio kufanya collabo na Nameless wa Kenya

Ambwene Yessaya ‘AY’ ambaye alikuwa ‘mentor’ wa Damian Soul kwenye shindano la Maisha Superstar lililofanyika mwaka huu, aliwahi kusema kuwa wasanii wengi wakubwa wa Afrika Mashariki wamekuwa wakiomba kufanya collabo na Damian, baada ya kuona uwezo wake mkubwa aliouonesha kwenye shindano hilo. Damian Soul ambaye ameenda Kenya kufanya media tour, pia ameingia studio kurekodi collabo […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: J. Martins Ft Koffi Olomide — Dance 4 Me Remix

Video mpya ya msanii kutoka Nigeria J. Martins akimshirikisha Koffi Olomide kutoka DRC Congo wimbo unaitwa “Dance 4 Me Remix”

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Wizkid na Fally Ipupa waingia studio kufanya collabo

Staa wa Nigeria, Wizkid na staa wa DRC, Fally Ipupa wamekutana Paris, Ufarasa ambako wameenda kufanya show. Wizkid na Fally hawajaiachia fursa hiyo ipite hivi hivi, wameamua kuingia studio huko Paris na kurekodi wimbo mpya wa pamoja. “Good day Paris!! Studio link up with the brother @fallyipupa01” aliandika Wizkid kwenye moja ya picha zake. Hit […]

 

9 years ago

Mtanzania

Koffi Olomide kufanya shoo ya Selfie leo Dar

4129894293_e64ddfb827_bNA CHRISTOPHER MSEKENA

WAKATI mwanamuziki mkongwe katika muziki wa dansi anayetokea Congo, Koffi Olomide akitarajiwa kufanya onyesho la nguvu leo usiku, mmiliki na mwanamuziki wa bendi ya Malaika, Christian Bella, amewataka wasanii wawe makini kufuatilia onyesho lake ili wajifunze kitu kutoka kwa mwanamuziki huyo.

Christian Bella alisema wasanii wanatakiwa kuiga na kujifunza namna ya utumbuizaji na siri ya kuendelea kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu kwa mkongwe huyo anayetarajiwa kufanya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa wimbo mpya

Msanii wa East Coast Team, King Crazy GK aka ‘Music Messayah’ ameingia ndani ya studio za Mackochalo na kuandaa wimbo mpya aliwa amemshirikisha mwadada Vanessa Mdee. AY, Vanessa, Macko pamoja na GK wakiwa studio Kazi hiyo mpya inayoandaliwa na mtayarisha jimkongwe John Maundi akishirikana Mackochali inasimamiwa na AY, huku kazi hiyo ikiwaida itatoka mapema zaidi […]

 

10 years ago

Bongo5

Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa

Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa. Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho. Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia. “Wyclef…Dreams do come […]

 

10 years ago

Mwananchi

Nilimpotezea koffi olomide

Miongoni mwa wanamuziki wa dansi wanaotamba hivi sasa hapa nchini bila shaka Christian Bella ni mmoja wa wasanii hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani