‘Hello’ ya Adele yavunja rekodi nyingine ya Billboard
Mwimbaji wa Uingereza, Adele anaendelea kuweka historia kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’. Ikiwa ni wiki moja na siku nne toka ‘Hello’ iachiwe rasmi Oct.23, wimbo huo umeweka rekodi nyingine. Wimbo huo umevunja rekodi ya Billboard kwa kupakuliwa mara milioni 1.1, na kuwa ndio wimbo uliopata downloads nyingi zaidi ndani ya wiki moja. Rekodi hiyo hapo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Dec
Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard
9 years ago
Bongo530 Nov
Album ya Adele yavunja rekodi Marekani, yauza nakala milioni 3.38 katika wiki ya kwanza

Album mpya ya Adele, 25 imevunja rekodi kwa kuuza nakala milioni 3.38 katika wiki yake ya kwanza nchini Marekani pekee, kwa mujibu wa taarifa za Nielsen Music.
Staa huyo wa Uingereza amevunja rekodi hiyo tangu Nielsen ianze kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991. 25 iliyotoka Novemba 20 imekuwa pia album ya kwanza kuuza nakala nyingi zaidi katika wiki ya kwanza.
Kwa Uingereza, 25 imevunja pia rekodi kwa kuuza nakala 800,000 katika wiki yake ya kwanza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Adele akimbiza kwenye chati za Billboard
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Adele Adkins, anamaliza mwaka kwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard kwa wiki nne.
Katika chati hiyo kulikuwa na albamu 200 ambazo zilikuwa zinashindanishwa, lakini Adele amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye ushindani huo kwa wiki nne.
Mkali huyo wa sauti amesema ni furaha kwake kuona kazi zake zikikubalika na idadi kubwa ya watu duniani na ndiyo maana ameweza kukaa kwa muda mrefu ambapo sio kawaida kutokana na...
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Kilimanjaro yavunja rekodi ya 1995
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Whatsapp yavunja rekodi ya 'ujumbe'
10 years ago
Bongo529 Sep
Drake awa msanii wa nne kuweka rekodi hii kwenye Billboard
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Dar yavunja rekodi mimba za utotoni (2)
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wimbo mpya wa Adele wazidi kuvunja rekodi