Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar yavunja rekodi mimba za utotoni (2)

Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kuzuia matukio ya ujauzito kwa watoto wa kike hali si ya kuridhisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Whatsapp yavunja rekodi ya 'ujumbe'

Kila siku zaidi ujumbe billioni 30 za mtandao wa WhatsApp hutumwa kulingana na takwimu mpya zilizotolewa

 

9 years ago

Mwananchi

Kilimanjaro yavunja rekodi ya 1995

Mkoa wa Kilimanjaro, umevunja rekodi ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya upinzani kunyakua majimbo saba kati ya majimbo tisa.

 

9 years ago

Bongo5

‘Hello’ ya Adele yavunja rekodi nyingine ya Billboard

adele-25-coverMwimbaji wa Uingereza, Adele anaendelea kuweka historia kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’. Ikiwa ni wiki moja na siku nne toka ‘Hello’ iachiwe rasmi Oct.23, wimbo huo umeweka rekodi nyingine. Wimbo huo umevunja rekodi ya Billboard kwa kupakuliwa mara milioni 1.1, na kuwa ndio wimbo uliopata downloads nyingi zaidi ndani ya wiki moja. Rekodi hiyo hapo […]

 

9 years ago

Mtanzania

Albamu ya Tiwa Savage yavunja rekodi MTN

TIWA-SAVAGELAGOSI, NIGERIA

MKALI wa muziki nchini Nigeria, Tiwa Savage, albamu yake imevunja rekodi ya kusikilizwa kupitia mtandao wa MTN Music nchini humo.

Albamu hiyo ambayo ameipa jina la Razz Enigma Dodobucci ‘R.E.D’ yenye nyimbo 16, imevunja rekodi ya kusikilizwa na idadi kubwa ya watu ndani ya saa 24 baada ya kuachiwa kwake.

Tiwa aliitayarisha albamu hiyo katika Studio ya Mavin Records ambapo wamewashirikisha baadhi ya wasanii kama vile Don Jazzy, Olamide, Dr. Sid, Iceberg Slim, 2Face, D Prince,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege inayotumia nguvu za jua yavunja rekodi

Ndege inayotumia umeme wa jua imetua mjini Hawaii baada ya kuweka historia ya kuruka kilomita 7,200 katika eneo la pacific kutoka Japan.

 

9 years ago

BBCSwahili

Stars Wars yavunja rekodi ya kuvuna $1bn

Filamu mpya ya Star Wars: The Force Awakens imevunja rekodi na kuwa filamu iliyozoa $1bn (£674m) kwa kasi zaidi duniani.

 

11 years ago

Michuzi

Kili music tour yavunja rekodi Mwanza

 Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz wakimakinika katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.  Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rich Mavoko akipagawisha wakazi wa Mwanza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.  Wakazi wa Mwanza wakiwa wamefurika kwa maelfu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi yavunja rekodi kuchezwa muda mrefu

Mechi ya Mchezo wa tenis kati ya raia wa Argentina Leonardo Mayer na Joao Souza wa Brazili imevunja rekodi ya mchezo huo hapo jana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Filamu mpya ya Stars Wars yavunja rekodi

Filamu mpya ya Star Wars: The Force Awakens imevunja rekodi Uingereza kwa kuuza tikezi nyingi zaidi siku ya kwanza ya uuzaji tiketi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani