Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Drake awa msanii wa nne kuweka rekodi hii kwenye Billboard

Huu umekuwa mwaka mzuri kwa Drake. Aliachia mixtape ya ushirikiano na Future, What a Time To Be Alive na sasa amefikisha nyimbo 100 kwenye chart ya Billboard Hot 100 tangu aanze kufanya muziki miaka sita iliyopita. Rapper huyo anayetokea nchini Canada alikuwa na nyimbo 92 kabla ya mixtape yake kutoka Jumapili iliyopita ambapo nane kati […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Album ya Drake na Future yakamata namba 1 kwenye Billboard 200 Chart

Album ya pamoja ya Drake na Future iliyotoka kwa kushitukiza, ‘What a Time to Be Alive’ imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200. Hadi kufikia mwisho wa wiki ya Sept. 24, units 375,000 za album hiyo zilikuwa zimeuzwa, kwa mujibu wa Nielsen Music, kati ya hizo zikiwemo nakala 334,000 halisi za album. […]

 

10 years ago

Bongo5

Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard

Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita. Nicki amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya […]

 

10 years ago

Bongo5

Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs

Drake amevunja rekodi baada ya nyimbo zake zote 17 za kwenye mixtape/album ya kushtukiza, If You’re Reading This It’s Too Late kuingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs. Kwa ujumla Drake anamiliki asilimia 42 ya nyimbo 50 zilizopo kwenye chart hiyo akiwa na jumla ya nyimbo 21. If You’re Reading This It’s Too Late imeendelea […]

 

10 years ago

Bongo5

Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200

Album mpya ya Janet Jackson iitwayo ‘Unbreakable’ imekamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200, na kuweka rekodi ya kuwa album ya saba ya mwimbaji huyo kushika namba moja kwenye chati hizo. Album hiyo iliyotoka October 2, 2015 imeuza nakala 116,000 katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen Music. ‘Unbreakable’ ni album […]

 

9 years ago

Bongo5

Meek Mill amdiss tena Drake kwenye ngoma hii

Meek-Mill

Beef ya Meek Mill na Drake haioneshi dalili ya kuisha mapema.

Katika muda ambao wengi tulianza kusahau, Meek anarudi tena na nyundo kwa rapper huyo wa Canada itakayokuwepo kwenye mixtape yake ya Dreamchasers 4.

Video fupi ya Meek Mill inayomuonesha akichana mistari michache ya wimbo huo imesambaa mtandaoni.

“When I was saying shit about the rhymes you ain’t wrote / I can’t wait ’til we run in ya / I’ma put a gun in ya,” rapper huyo wa Philadelphia anarap kwenye video hiyo.

Katikati ya...

 

10 years ago

Bongo5

‘Hello’ ya Adele yavunja rekodi nyingine ya Billboard

adele-25-coverMwimbaji wa Uingereza, Adele anaendelea kuweka historia kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’. Ikiwa ni wiki moja na siku nne toka ‘Hello’ iachiwe rasmi Oct.23, wimbo huo umeweka rekodi nyingine. Wimbo huo umevunja rekodi ya Billboard kwa kupakuliwa mara milioni 1.1, na kuwa ndio wimbo uliopata downloads nyingi zaidi ndani ya wiki moja. Rekodi hiyo hapo […]

 

10 years ago

Vijimambo

UMEIPENDAJE HII OSTAZ JUMA KUWEKA SIMU NA HEADPHONE KWENYE SAHANI

Huyo ndio Ostaz Juma simu yake na headphone zake kaweka kwenye sahani wakati akipata menu yake anajipendaje wewe unaonaje hii si ni powa?.

 

9 years ago

MillardAyo

FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video)

December 30 Ligi Kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo 9 kupigwa katika viwanja mbalimbali, huu ni muendelezo wa mechi za Laliga ambapo ilikuwa imesimama kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christmas, hivyo December 30 iliendelea kama kawaida. Miongoni mwa michezo iliyochezwa December 30 ni mechi kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Betis. Huu ni […]

The post FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani