Album ya Drake na Future yakamata namba 1 kwenye Billboard 200 Chart
Album ya pamoja ya Drake na Future iliyotoka kwa kushitukiza, ‘What a Time to Be Alive’ imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200. Hadi kufikia mwisho wa wiki ya Sept. 24, units 375,000 za album hiyo zilikuwa zimeuzwa, kwa mujibu wa Nielsen Music, kati ya hizo zikiwemo nakala 334,000 halisi za album. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Feb
Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs
Drake amevunja rekodi baada ya nyimbo zake zote 17 za kwenye mixtape/album ya kushtukiza, If You’re Reading This It’s Too Late kuingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs. Kwa ujumla Drake anamiliki asilimia 42 ya nyimbo 50 zilizopo kwenye chart hiyo akiwa na jumla ya nyimbo 21. If You’re Reading This It’s Too Late imeendelea […]
9 years ago
Bongo530 Sep
‘Game’ ya Navy Kenzo yakamata namba 1 kwenye ‘Official African Chart ‘ ya MTV Base
Navy Kenzo wanaendelea kula matunda ya juhudi zao katika muziki, ambapo uwekezaji walioufanya kwenye video yao ya ‘Game’ unaendelea kuzaa matunda. Hatimaye hit song yao ‘Game’ imefanikiwa kupanda hadi namba 1 wiki hii kwenye chati ya video bora za Afrika, ‘Official African Chart’ ya kituo cha MTV Base. Hadi sasa ‘Game’ imewafungulia Navy Kenzo njia […]
9 years ago
Bongo513 Oct
Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200
Album mpya ya Janet Jackson iitwayo ‘Unbreakable’ imekamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200, na kuweka rekodi ya kuwa album ya saba ya mwimbaji huyo kushika namba moja kwenye chati hizo. Album hiyo iliyotoka October 2, 2015 imeuza nakala 116,000 katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen Music. ‘Unbreakable’ ni album […]
9 years ago
Bongo521 Oct
Selena Gomez aongoza chart za Billboard 200, The Game akamata nafasi ya pili
Nyota wa muziki wa Pop, Selena Gomez amemzidi kete rapper The Game kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chart za wiki za album, Billboard 200. Revival, albamu ya pili ya mrembo huyo mwenye miaka 23, iliuza kopi 117,000 katika wiki iliyomazilika. Album ya ya The Game, Documentary 2 imekamata nafasi ya pili kwa kuuza kopi […]
11 years ago
Bongo503 Aug
Album mpya ya 2face ‘The Ascension’ yaingia kwenye orodha ya Billboard ya album zinazouza zaidi duniani
Jarida la muziki la Marekani, Billboard Magazine limeitaja album mpya na ya sita ya muimbaji wa Nigeria, 2face Idibia, ‘The ‘Ascension miongoni mwa album zilizouza zaidi wiki hii duniani. ‘The ‘Ascension ” imekamata nafasi ya 12 kwenye chart billboard. Mafanikio hayo yamepokelewa kwa furaha kubwa na mke wake Annie Macaulay-Idibia aliyetumia mtandao wa Instagram kuelezea […]
9 years ago
Bongo529 Sep
Drake awa msanii wa nne kuweka rekodi hii kwenye Billboard
Huu umekuwa mwaka mzuri kwa Drake. Aliachia mixtape ya ushirikiano na Future, What a Time To Be Alive na sasa amefikisha nyimbo 100 kwenye chart ya Billboard Hot 100 tangu aanze kufanya muziki miaka sita iliyopita. Rapper huyo anayetokea nchini Canada alikuwa na nyimbo 92 kabla ya mixtape yake kutoka Jumapili iliyopita ambapo nane kati […]
9 years ago
Bongo524 Aug
‘Nana’ ya Diamond yakamata namba 1 kwenye DNA Top 5 ya BBC Radio 1Xtra ya UK
Inatia moyo kuona nyimbo za wasanii wa Tanzania zinafanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vituo vya Radio na Tv ndani na nje ya Afrika. Tumeshuhudia kazi za wasanii wa Bongo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Joh Makini, Navy Kenzo ziking’ara katika chati za vituo tofauti. Wimbo wa Diamond aliomshirikisha staa wa Nigeria Mr Flavour, ‘Nana’ […]
9 years ago
Bongo531 Aug
‘Game’ ya Navy Kenzo yazidi kushika chati Nigeria, yakamata namba 1 kwenye Top 10 ya Radio nyingine ya Lagos
Navy Kenzo wanazidi kuwashika kina ‘Oga’, baada ya wimbo wao ‘Game’ kushika namba 1 kwenye Top 10 za The Beat 99.9 Fm ya Nigeria, wimbo huo umekamata nafasi ya 1 kwenye Top 10 ya Radio nyingine ya Lagos. ‘Game’ya Navy Kenzo wakiwa wamemshirikisha Vanessa Mdee imeshika namba 1 kwenye African Top 10 ya Naija 102.7 […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania