Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nana’ ya Diamond yakamata namba 1 kwenye DNA Top 5 ya BBC Radio 1Xtra ya UK

Inatia moyo kuona nyimbo za wasanii wa Tanzania zinafanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vituo vya Radio na Tv ndani na nje ya Afrika. Tumeshuhudia kazi za wasanii wa Bongo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Joh Makini, Navy Kenzo ziking’ara katika chati za vituo tofauti. Wimbo wa Diamond aliomshirikisha staa wa Nigeria Mr Flavour, ‘Nana’ […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

‘Game’ ya Navy Kenzo yazidi kushika chati Nigeria, yakamata namba 1 kwenye Top 10 ya Radio nyingine ya Lagos

Navy Kenzo wanazidi kuwashika kina ‘Oga’, baada ya wimbo wao ‘Game’ kushika namba 1 kwenye Top 10 za The Beat 99.9 Fm ya Nigeria, wimbo huo umekamata nafasi ya 1 kwenye Top 10 ya Radio nyingine ya Lagos. ‘Game’ya Navy Kenzo wakiwa wamemshirikisha Vanessa Mdee imeshika namba 1 kwenye African Top 10 ya Naija 102.7 […]

 

9 years ago

Bongo5

Album ya Drake na Future yakamata namba 1 kwenye Billboard 200 Chart

Album ya pamoja ya Drake na Future iliyotoka kwa kushitukiza, ‘What a Time to Be Alive’ imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200. Hadi kufikia mwisho wa wiki ya Sept. 24, units 375,000 za album hiyo zilikuwa zimeuzwa, kwa mujibu wa Nielsen Music, kati ya hizo zikiwemo nakala 334,000 halisi za album. […]

 

9 years ago

Bongo5

‘Game’ ya Navy Kenzo yakamata namba 1 kwenye ‘Official African Chart ‘ ya MTV Base

Navy Kenzo wanaendelea kula matunda ya juhudi zao katika muziki, ambapo uwekezaji walioufanya kwenye video yao ya ‘Game’ unaendelea kuzaa matunda. Hatimaye hit song yao ‘Game’ imefanikiwa kupanda hadi namba 1 wiki hii kwenye chati ya video bora za Afrika, ‘Official African Chart’ ya kituo cha MTV Base. Hadi sasa ‘Game’ imewafungulia Navy Kenzo njia […]

 

9 years ago

Bongo5

‘Game’ ya Navy Kenzo yashika namba 1 kwenye Top 10 ya Trace Urban

game2‘Game’ ya Navy Kenzo wakiwa wamemshirikisha Vee Money inazidi kuthibitisha kuwa ndio imekuwa ufunguo wa mafanikio ya kundi hilo kimataifa, kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vituo vikubwa Afrika na nje. Baada ya kuingia na kufika hadi namba 1 kwenye chati za vituo vikubwa kama MTV Base na Soundcity Tv ya Nigeria, video […]

 

10 years ago

Bongo5

‘Kerewa’ ya Shetta yaingia kwenye Top 10 za Radio 3 Nigeria, NAIJA 102.7 FM, CITY 105.1 FM na THE BEAT 99.9FM

Shetta ameanza kuona matunda ya video yake ya ‘Kerewa’ aliyoifanya Afrika Kusini na director GodFather. Baada ya video yake kuanza kuchezwa kwenye vituo vya kimataifa kama MTV Base, Channel O na Soundcity, wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platnumz umeingia kwenye Top 10 za Radio tatu za Nigeria. Kupitia chati ya NAIJA 102.7 FM ‘Kerewa’ ipo nafasi […]

 

10 years ago

Bongo5

T-Pain wa Marekani kuja Tanzania mwezi ujao, kutumbuiza na Diamond kwenye uzinduzi wa Radio mpya, Mwanza

Mfalme wa Auto-Tune, T-Pain kutoka Marekani anatarajia kuja Tanzania mwezi ujao na kutumbuiza jijini Mwanza, kwenye tamasha la uzinduzi wa radio mpya iitwayo Jembe Fm ya jijini humo. T-Pain ambaye jina lake halisi ni Faheem Rashad Najm, hatakuwa peke yake kwenye tamasha hilo lililopewa jina la Step Up, bali atakuwa na msanii mwenyeji wake Diamond […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aongoza kwenye orodha ya ‘Top 15 African Artists of 2015’ ya Afrimma

mondi new

Waandaaji wa tuzo za African Muzik Magazine (AFRIMMA) wametoa orodha yao ya wasanii 15 bora wa Afrika kwa mwaka huu, ‘Top 15 African Artists of 2015’.

mondi new

Kupitia website yao, Afrimma wameandika kuwa Diamond Platnumz ndiye msanii aliyeshika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo, huku Wzkid kutoka Nigeria akifata kwenye nafasi ya pili, Olamide kwenye nafasi ya tatu na na Davido akiwa kwenye nafasi ya nne.

Kwenye tuzo za Afrimma mwaka huu zilizofanyika Oct. 10 Dallas, Marekani, Diamond alishinda...

 

10 years ago

Bongo5

‘Coco Baby’ ya Waje ft. Diamond ndio wimbo unaoongoza kuombwa zaidi kwenye Radio nchini Nigeria kwa sasa — Star Fm

Collabo ya msanii wa kike wa Nigeria Waje na staa wa Bongo, Diamond Platnumz imeonekana kuwa na mapokeo mazuri zaidi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa kituo cha radio Star Fm 91.5 Ibadan, ‘Coco Baby’ ndio wimbo unaoongoza kwa kuombwa zaidi na wasikilizaji nchini Nigeria kwa sasa. Diamond alipost tweet ya kituo hicho na kuandika: “S/O […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani