‘Coco Baby’ ya Waje ft. Diamond ndio wimbo unaoongoza kuombwa zaidi kwenye Radio nchini Nigeria kwa sasa — Star Fm
Collabo ya msanii wa kike wa Nigeria Waje na staa wa Bongo, Diamond Platnumz imeonekana kuwa na mapokeo mazuri zaidi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa kituo cha radio Star Fm 91.5 Ibadan, ‘Coco Baby’ ndio wimbo unaoongoza kwa kuombwa zaidi na wasikilizaji nchini Nigeria kwa sasa. Diamond alipost tweet ya kituo hicho na kuandika: “S/O […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM01 May
10 years ago
Bongo525 Nov
New Music: Waje Ft. Diamond Platnumz — Coco Baby
Wimbo mpya kutoka kwa Waje toka Nigeria akimshirikisha Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Coco Baby” Producer E-Kelly
10 years ago
Bongo526 Nov
New Video: Waje Ft Diamond Platnumz — Coco Baby
Baada ya jana kuachia Audio angalia Video mpya kutoka kwa Waje kutoka Nigeria akimshirikisha Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Coco Baby” video imeongozwa na God Father
10 years ago
GPL26 Nov
10 years ago
Vijimambo11 years ago
Bongo519 Oct
Videos: T.I., Davido, Waje, Diamond na wengine wakitumbuiza kwenye Fiesta Dar
Tazama namna wasanii mbalimbali walivyotumbuiza katika jukwaa la Serengeti Fiesta Dar es Salaam.
10 years ago
Vijimambo09 Nov
PICHA ZA DIAMOND NA WAJE WAKISHUTI VIDEO YA COLLABO MJINI CAPE TOWN NCHINI AFRIKA KUSINI
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.
Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.
Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigia
Diamond na Waje wakiwa location

Picha hii iliweka Instagram na Jesse Ebuka Okoli aliyeandika:On set yesterday with the ever amazing @officialwaje ft diamond #Coco baby...






Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania