PICHA ZA DIAMOND NA WAJE WAKISHUTI VIDEO YA COLLABO MJINI CAPE TOWN NCHINI AFRIKA KUSINI
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.
Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigia
Diamond na Waje wakiwa location
Picha hii iliweka Instagram na Jesse Ebuka Okoli aliyeandika:On set yesterday with the ever amazing @officialwaje ft diamond #Coco baby...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Nov
Diamond na AKA washoot video ya collabo yao Afrika Kusini
![AKA X Diamond](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/AKA-X-Diamond-300x194.jpg)
Rapper Kiernan Jarryd Forbes, maarufu kama AKA na staa wetu Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz wameingia location kushoot video ya collabo yao.
Taarifa ya kufanyika kwa video hiyo imetolewa na AKA kupitia akaunti yake ya Twitter jana Jumapili.
In other news: Off to shoot this video for this AKA X @diamondplatnumz collaboration.
— AKA (@akaworldwide) November 29, 2015
Inavyoonekana video hiyo inashutiwa Afrika Kusini kwasababu Diamond Platnumz yuko huko toka wiki iliyopita.
AKA na Diamond...
9 years ago
Bongo529 Oct
Video ya collabo ya Diamond na Ne-Yo kufanyika Marekani na Afrika
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81406000/jpg/_81406724_81406717.jpg)
VIDEO: Cape Town wildfires from above
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72830000/jpg/_72830576_72827053.jpg)
VIDEO: Designs on Cape Town's businesses
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75162000/jpg/_75162910_75162470.jpg)
VIDEO: Shooting at Cape Town airport
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74446000/jpg/_74446831_cape_town_studios1920.jpg)
VIDEO: Cape Town: The new cinematic hub
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80835000/jpg/_80835899_cape_property1920.jpg)
VIDEO: Cape Town adjusts to changing market
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82219000/jpg/_82219711_82219427.jpg)
VIDEO: Rhodes statue in Cape Town removed
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78830000/jpg/_78830570_sasteampunk.jpg)
VIDEO: Cape Town's 'steampunk' coffee shop