Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video ya collabo ya Diamond na Ne-Yo kufanyika Marekani na Afrika

Diamond Platnumz ambaye amefanya collabo na msanii mkubwa wa R&B wa Marekani, Ne-Yo ameelezea hatua ilipofikia project hiyo inayotarajiwa kumfungulia njia ya mafanikio zaidi kimataifa. Akizungumza na mtangazaji wa Citizen ya Kenya, Mzazi Willy Tuva, Platnumz amesema kuwa wimbo huo umekamilika lakini hawezi kusema utatoka lini kwa sasa kuna baadhi ya mambo ambayo anayoyaweka sawa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diamond na AKA washoot video ya collabo yao Afrika Kusini

AKA X Diamond

Rapper Kiernan Jarryd Forbes, maarufu kama AKA na staa wetu Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz wameingia location kushoot video ya collabo yao.

AKA X Diamond

Taarifa ya kufanyika kwa video hiyo imetolewa na AKA kupitia akaunti yake ya Twitter jana Jumapili.

In other news: Off to shoot this video for this AKA X @diamondplatnumz collaboration. 🎥💎

— AKA (@akaworldwide) November 29, 2015

Inavyoonekana video hiyo inashutiwa Afrika Kusini kwasababu Diamond Platnumz yuko huko toka wiki iliyopita.

AKA na Diamond...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA DIAMOND NA WAJE WAKISHUTI VIDEO YA COLLABO MJINI CAPE TOWN NCHINI AFRIKA KUSINI

Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigiaDiamond na Waje wakiwa locationPicha hii iliweka Instagram na Jesse Ebuka Okoli aliyeandika:On set yesterday with the ever amazing @officialwaje ft diamond #Coco baby...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond amesharekodi collabo na msanii mkubwa wa Marekani, hutaamini ni yupi!

Diamond Platnumz is unstoppable! Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa Marekani japo hakuwahi kumtaja, lakini sasa tunaweza kuwa na ubashiri sahihi! Muimbaji huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV leo asubuhi ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya Afrika anayependa kufanya naye kazi. […]

 

9 years ago

Bongo5

Mafikizolo na Diamond kushoot video ya collabo yao December 10

4X7A0037

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limethibitisha kuwa video ya wimbo waliomshirikisha Diamond itafanyika December 10 mwaka huu.

4X7A0037

Taarifa hiyo imetolewa na member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza kupitia Instagram baada ya kumjibu shabiki wa Diamond aliyeuliza sababu ya kuchelewa kwa wimbo huo.

“We are shooting a video with @diamondplatnumz on the 10th of December boss we know you guys have been waiting, one love.”

Wimbo huo ulifanyika mwaka jana.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston

AY yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video mbili kama alivyoahidi hivi karibuni wakati anaachia wimbo wake mpya ‘It’s Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia. Mzee wa Commercial ameshare picha Instagram akiwa location na msanii Mjamaica-Mmarekani Sean Kingston na kuandika: “Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Diamond atease wimbo mpya wa Tekno wa Nigeria, je ni collabo?

tekno-miles-1

Mkali wa ‘Duro’ Tekno Miles kutoka Nigeria anatarajia kuachia wimbo mpya wiki ijayo, baada ya kufanya vizuri na single ya ‘Duro’ ambayo imeshika chati mbalimbali za Afrika.

tekno-miles-1

Mshindi wa tuzo 3 za Afrima 2015, Diamond ambaye yuko Nigeria alikoenda kwenye tuzo hizo, amewaonjesha mashabiki kupitia akaunti yake ya Instagram kionjo cha wimbo huo. Platnumz amepost video aliyojirekodi akiwa na Tekno kwenye gari yake wakisikiliza wimbo huo huku Tekno akiimba.

“Forget About DURO… we are about to...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond na Mafikizolo kushoot video ya collabo yao ya 2014, mwezi ujao

mondi na mafikizoloMwaka jana (2014) mwezi June, Diamond Platnumz na kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini waliingia studio kufanya collabo ambayo haikuwahi kutoka. Mafikizolo ndio walioomba kufanya collabo hiyo (Ingia hapa). Kama ulikuwa umeshakata tamaa kutokana na muda mrefu kupita, zaidi ya mwaka bila kusikia chochote kuhusu collabo hiyo, habari njema kutoka kwa mshindi wa tuzo ya […]

 

11 years ago

Bongo5

Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani, T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani. Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine. Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol,Lady Jaydee, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani