Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Selena Gomez aongoza chart za Billboard 200, The Game akamata nafasi ya pili

Nyota wa muziki wa Pop, Selena Gomez amemzidi kete rapper The Game kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chart za wiki za album, Billboard 200. Revival, albamu ya pili ya mrembo huyo mwenye miaka 23, iliuza kopi 117,000 katika wiki iliyomazilika. Album ya ya The Game, Documentary 2 imekamata nafasi ya pili kwa kuuza kopi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Album ya Drake na Future yakamata namba 1 kwenye Billboard 200 Chart

Album ya pamoja ya Drake na Future iliyotoka kwa kushitukiza, ‘What a Time to Be Alive’ imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200. Hadi kufikia mwisho wa wiki ya Sept. 24, units 375,000 za album hiyo zilikuwa zimeuzwa, kwa mujibu wa Nielsen Music, kati ya hizo zikiwemo nakala 334,000 halisi za album. […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Selena Gomez — Same Old Love

Mwanamuziki Selena Gomez ameachia video mpya ya wimbo “Same Old Love”. Video yake imeongozwa na director Micheal Haussman. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Selena Gomez. NEW YORK, MAREKANI WAZUNGU bwana! Staa wa muzikiwa Pop, Selena Gomez ameendelea kuteswa na unene ulioongezeka kwa muda mfupi huku mitandao ya kijamii ikimshambulia. Staa huyo aliyekuwa mpenzi wa staa mwenzake wa muziki, Justin Bieber kupitia ukurasa wake wa Instagram, mashabiki wake wengi wameonekana kukerwa na unene huo jambo linalomnyima usingizi staa huyo. Kabla hajaongezeka… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Bieber aomba kurudiana na Selena Gomez

justin-bieber-2013-3226-hdwallfan-jpgLAS VEGAS, MAREKANI

MSANII wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Beiber, amesema yupo tayari kurudiana na mpenzi wake wa zamani mwanamitindo, Selena Gomez.

Beiber ataendelea kumkumbuka mrembo huyo kwa kuwa ndiye msichana wake wa kwanza katika maisha yake ya kimapenzi huku akidai kwamba wamefanya mambo mengi walipokuwa wapenzi.

“Kwa sasa najua kila mtu ana mambo yake, lakini kutokana na mambo tuliyofanya wakati wa uhusiano wetu tunaweza kurudiana ila Selena akiwa tayari, lakini...

 

10 years ago

GPL

TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift. NEW YORK, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift amejivunia kumshauri staa mwenzake wa muziki huo, Selena Gomez kujiweka mbali na Justin Bieber. Taylor Swift akiwa na Selena Gomez.
Taylor alikuwa rafiki wa karibu na Selena na ugomvi wao ulianza Mei mwaka huu baada ya Bieber kumrudia Selena kabla hawajamwagana tena kwa mara… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Selena Gomez: Bado nampenda Justin Bieber

SelenaNEW YORK, MAREKANI

MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Selena Gomez, ameibuka na kudai kwamba bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa RnB, Justin Beiber.

Wawili hao walianza uhusiano mwaka 2011, lakini miaka mitatu baadaye waliachana.

Hata hivyo, japokuwa wameachana, lakini mrembo huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumpenda msanii huyo kwa kuwa alimzoea na wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo.

“Siwezi kuzuia hisia zangu kwa Beiber, nitaendelea kumpenda milele kwa kuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake

Selena GomezLAS VEGAS, MAREKANI

MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.

Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.

Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.

“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...

 

9 years ago

GPL

SELENA GOMEZ AWA KIVUTIO UTOAJI WA TUZO

Mwimbaji Selena Gomez. Los Angeles, Marekani
MWIMBAJI Selena Gomez juzi aliibuka kwenye utoaji wa tuzo za filamu na kuwa kivutio kikubwa kutokana na gauni alilokuwa amevaa.Selena alikuwa kivutio kwenye tuzo hizo zinazojulikana kwa jina la Annual Hollywood Film Awards, ambazo sherehe zake zilifanyika mjini Beverly Hills, jijini Los Angeles. Mwimbaji huyo ambaye alikabidhi tuzo ya mchekeshaji bora ambayo ilitwaliwa na Amy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani