TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ
![](http://api.ning.com:80/files/t4lRGZ5APQtaUqItUgKJW1znIFtVjfuCDiWmyLwtmPvEmiDdxxJZrKSansMbnGXghigVcv5hkIk3zGedl2OWnBItSzB5t7A2/swift.jpg?width=650)
Staa wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift. NEW YORK, Marekani STAA wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift amejivunia kumshauri staa mwenzake wa muziki huo, Selena Gomez kujiweka mbali na Justin Bieber. Taylor Swift akiwa na Selena Gomez. Taylor alikuwa rafiki wa karibu na Selena na ugomvi wao ulianza Mei mwaka huu baada ya Bieber kumrudia Selena kabla hawajamwagana tena kwa mara… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Jun
Mwakyembe ajivunia kumshauri vyema Rais
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe amesema kati ya mambo anayoweza kujivunia wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya nne ni kuwa miongoni mwa washauri wazuri wa Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLafJI7ePIFyQ4z2RY*q4-*6qNKt8BLgrz5BHYX06ZztatqKTfKahgUIpeDXc2x-JUGgO4kFMO*5uoo8G9pOrkjU2/selenaxxxxxxxxxxxxxxxxxx.gif?width=650)
UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ
9 years ago
Bongo514 Oct
Video: Selena Gomez — Same Old Love
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Bieber aomba kurudiana na Selena Gomez
LAS VEGAS, MAREKANI
MSANII wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Beiber, amesema yupo tayari kurudiana na mpenzi wake wa zamani mwanamitindo, Selena Gomez.
Beiber ataendelea kumkumbuka mrembo huyo kwa kuwa ndiye msichana wake wa kwanza katika maisha yake ya kimapenzi huku akidai kwamba wamefanya mambo mengi walipokuwa wapenzi.
“Kwa sasa najua kila mtu ana mambo yake, lakini kutokana na mambo tuliyofanya wakati wa uhusiano wetu tunaweza kurudiana ila Selena akiwa tayari, lakini...
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake
LAS VEGAS, MAREKANI
MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.
Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.
Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.
“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqrs*X5KBcMlc0Vp6wD7lgebXQLozIcCaMh75*zIBxdwUiNtbWJHUtqjvMyacyOMxUHXGjyrAXZdihg5AbrELhRZ/selenagomezthatgrapejuice2014.png?width=650)
SELENA GOMEZ AWA KIVUTIO UTOAJI WA TUZO
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Selena Gomez: Bado nampenda Justin Bieber
NEW YORK, MAREKANI
MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Selena Gomez, ameibuka na kudai kwamba bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa RnB, Justin Beiber.
Wawili hao walianza uhusiano mwaka 2011, lakini miaka mitatu baadaye waliachana.
Hata hivyo, japokuwa wameachana, lakini mrembo huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumpenda msanii huyo kwa kuwa alimzoea na wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo.
“Siwezi kuzuia hisia zangu kwa Beiber, nitaendelea kumpenda milele kwa kuwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0CZ0B5pEyaPcY*TSHO-Ytui0CYKLGF9xHdpp1xquspGro7gJPHc-2whjp9Hqc76vzG2iqbuHG8PivTJ4pcoRKQ1/Selena.jpg?width=650)
SELENA GOMEZ KWA BIEBER ILIKUWA NI TUISHENI YA MAPENZI