Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SELENA GOMEZ KWA BIEBER ILIKUWA NI TUISHENI YA MAPENZI

Staa wa muziki na filamu Selena Gomez. Hollywood, marekani Staa wa muziki na filamu Selena Gomez amedai kuwa hajutii kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake, Justin Bieber kwa sababu anaamini kuwa naye ilikuwa ni sehemu ya tuisheni ya kujifunza mapenzi. Selena Gomez aliyasema hayo katika mahojiano na mtandao mmoja maarufu nchini humo ambapo alikiri kutowahi kuwa kwenye penzi zito kama alilopitia akiwa na Bieber ambapo aliongeza kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SELENA GOMEZ, JUSTIN BIEBER KURUDIANA KWA KOLABO!

Mastaa wa muziki waliowahi kuwa wapenzi Selena Gomez na Justin Bieber. Hollywood, Marekani MASTAA wa muziki waliowahi kuwa wapenzi wenye mvuto zaidi kabla ya kumwagana kiroho mbaya huku kila mmoja akimsemea mbofumbofu mwenzake, Selena Gomez na Justin Bieber, hivi karibuni wamewashangaza mashabiki wao baada ya kuvuja kwa wimbo wao wa kushirikiana ‘kolabo’ ambao una ujumbe mzito wa mapenzi kiasi cha kuzua hisia kuwa wawili...

 

9 years ago

Mtanzania

Bieber aomba kurudiana na Selena Gomez

justin-bieber-2013-3226-hdwallfan-jpgLAS VEGAS, MAREKANI

MSANII wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Beiber, amesema yupo tayari kurudiana na mpenzi wake wa zamani mwanamitindo, Selena Gomez.

Beiber ataendelea kumkumbuka mrembo huyo kwa kuwa ndiye msichana wake wa kwanza katika maisha yake ya kimapenzi huku akidai kwamba wamefanya mambo mengi walipokuwa wapenzi.

“Kwa sasa najua kila mtu ana mambo yake, lakini kutokana na mambo tuliyofanya wakati wa uhusiano wetu tunaweza kurudiana ila Selena akiwa tayari, lakini...

 

9 years ago

Mtanzania

Selena Gomez: Bado nampenda Justin Bieber

SelenaNEW YORK, MAREKANI

MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Selena Gomez, ameibuka na kudai kwamba bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa RnB, Justin Beiber.

Wawili hao walianza uhusiano mwaka 2011, lakini miaka mitatu baadaye waliachana.

Hata hivyo, japokuwa wameachana, lakini mrembo huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumpenda msanii huyo kwa kuwa alimzoea na wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo.

“Siwezi kuzuia hisia zangu kwa Beiber, nitaendelea kumpenda milele kwa kuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Justin Bieber Feat. Selena Gomez — Strong

Drake amekuwa anazindua kazi mpya kila baada ya wiki za wasanii mbalimbali kupitia radio yake ya OVO Sound Radio kupita Beats 1 ya Dr. Dre kutoka episode mpya ya radio hiyo producer mwenye jina ‘Nineteen85’ alivujisha collabo ya wimbo mpya ya Justin Bieber na mpenzi wake wa zamani Selena Gomez ambao unaitwa “Strong”. Jiunge na […]

 

10 years ago

GPL

UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Selena Gomez. NEW YORK, MAREKANI WAZUNGU bwana! Staa wa muzikiwa Pop, Selena Gomez ameendelea kuteswa na unene ulioongezeka kwa muda mfupi huku mitandao ya kijamii ikimshambulia. Staa huyo aliyekuwa mpenzi wa staa mwenzake wa muziki, Justin Bieber kupitia ukurasa wake wa Instagram, mashabiki wake wengi wameonekana kukerwa na unene huo jambo linalomnyima usingizi staa huyo. Kabla hajaongezeka… ...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Selena Gomez — Same Old Love

Mwanamuziki Selena Gomez ameachia video mpya ya wimbo “Same Old Love”. Video yake imeongozwa na director Micheal Haussman. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift. NEW YORK, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift amejivunia kumshauri staa mwenzake wa muziki huo, Selena Gomez kujiweka mbali na Justin Bieber. Taylor Swift akiwa na Selena Gomez.
Taylor alikuwa rafiki wa karibu na Selena na ugomvi wao ulianza Mei mwaka huu baada ya Bieber kumrudia Selena kabla hawajamwagana tena kwa mara… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake

Selena GomezLAS VEGAS, MAREKANI

MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.

Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.

Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.

“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani