UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ
![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLafJI7ePIFyQ4z2RY*q4-*6qNKt8BLgrz5BHYX06ZztatqKTfKahgUIpeDXc2x-JUGgO4kFMO*5uoo8G9pOrkjU2/selenaxxxxxxxxxxxxxxxxxx.gif?width=650)
Staa wa muziki wa Pop, Selena Gomez. NEW YORK, MAREKANI WAZUNGU bwana! Staa wa muzikiwa Pop, Selena Gomez ameendelea kuteswa na unene ulioongezeka kwa muda mfupi huku mitandao ya kijamii ikimshambulia. Staa huyo aliyekuwa mpenzi wa staa mwenzake wa muziki, Justin Bieber kupitia ukurasa wake wa Instagram, mashabiki wake wengi wameonekana kukerwa na unene huo jambo linalomnyima usingizi staa huyo. Kabla hajaongezeka… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Oct
Video: Selena Gomez — Same Old Love
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Bieber aomba kurudiana na Selena Gomez
LAS VEGAS, MAREKANI
MSANII wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Beiber, amesema yupo tayari kurudiana na mpenzi wake wa zamani mwanamitindo, Selena Gomez.
Beiber ataendelea kumkumbuka mrembo huyo kwa kuwa ndiye msichana wake wa kwanza katika maisha yake ya kimapenzi huku akidai kwamba wamefanya mambo mengi walipokuwa wapenzi.
“Kwa sasa najua kila mtu ana mambo yake, lakini kutokana na mambo tuliyofanya wakati wa uhusiano wetu tunaweza kurudiana ila Selena akiwa tayari, lakini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t4lRGZ5APQtaUqItUgKJW1znIFtVjfuCDiWmyLwtmPvEmiDdxxJZrKSansMbnGXghigVcv5hkIk3zGedl2OWnBItSzB5t7A2/swift.jpg?width=650)
TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Selena Gomez atangaza kuuza nyumba yake
LAS VEGAS, MAREKANI
MPENZI wa zamani wa msanii wa Pop, Justin Beiber, Selena Gomez, ametangaza kuuza nyumba yake yenye ukubwa wa mita za mraba 7,700.
Mrembo huyo ameitumia nyumba hiyo kwa mwaka mmoja na nusu, lakini kwa sasa ametangaza kuiuza kwa kitita cha dola milioni 3.7.
Selena alisema sababu za kutangaza kuuza nyumba hiyo ni kwamba mwakani hatokuwa na muda wa kukaa kwenye nyumba hiyo kutokana na ratiba yake kumbana na mizunguko ya kibiashara.
“Ninahisi ninafanya maamuzi sahihi ya kuuza...
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Selena Gomez: Bado nampenda Justin Bieber
NEW YORK, MAREKANI
MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Selena Gomez, ameibuka na kudai kwamba bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa RnB, Justin Beiber.
Wawili hao walianza uhusiano mwaka 2011, lakini miaka mitatu baadaye waliachana.
Hata hivyo, japokuwa wameachana, lakini mrembo huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumpenda msanii huyo kwa kuwa alimzoea na wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo.
“Siwezi kuzuia hisia zangu kwa Beiber, nitaendelea kumpenda milele kwa kuwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqrs*X5KBcMlc0Vp6wD7lgebXQLozIcCaMh75*zIBxdwUiNtbWJHUtqjvMyacyOMxUHXGjyrAXZdihg5AbrELhRZ/selenagomezthatgrapejuice2014.png?width=650)
SELENA GOMEZ AWA KIVUTIO UTOAJI WA TUZO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0CZ0B5pEyaPcY*TSHO-Ytui0CYKLGF9xHdpp1xquspGro7gJPHc-2whjp9Hqc76vzG2iqbuHG8PivTJ4pcoRKQ1/Selena.jpg?width=650)
SELENA GOMEZ KWA BIEBER ILIKUWA NI TUISHENI YA MAPENZI
9 years ago
Bongo519 Oct
Music: Justin Bieber Feat. Selena Gomez — Strong