Mwakyembe ajivunia kumshauri vyema Rais
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe amesema kati ya mambo anayoweza kujivunia wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya nne ni kuwa miongoni mwa washauri wazuri wa Rais Jakaya Kikwete.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t4lRGZ5APQtaUqItUgKJW1znIFtVjfuCDiWmyLwtmPvEmiDdxxJZrKSansMbnGXghigVcv5hkIk3zGedl2OWnBItSzB5t7A2/swift.jpg?width=650)
TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ
Staa wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift. NEW YORK, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift amejivunia kumshauri staa mwenzake wa muziki huo, Selena Gomez kujiweka mbali na Justin Bieber. Taylor Swift akiwa na Selena Gomez.
Taylor alikuwa rafiki wa karibu na Selena na ugomvi wao ulianza Mei mwaka huu baada ya Bieber kumrudia Selena kabla hawajamwagana tena kwa mara… ...
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Ni rais yupi aliyevalia vyema sare za Kijeshi ?
Viongozi wa Afrika waliochaguliwa kwa msingi wa kidemokrasia wameibuka kupenda magwanda ya Kijeshi
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-ft02UTdaDBc/VF9lnHsZrXI/AAAAAAAGwLs/dbY1C0LbhGg/s1600/D92A2468.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME MAREKANI, HALI YAKE INAENDELEA VYEMA
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa  hospitali ya Johns Hopkins (kushoto) na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ili kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland Marekani Jumamosi asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama....
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Kificho aunda kamati ya kumshauri
MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ameunda kamati ya watu 20 itakayomsaidia kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake ya kuandaa na kusimamia mchakato wa upitishaji...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ft02UTdaDBc/VF9lnHsZrXI/AAAAAAAGwLs/dbY1C0LbhGg/s72-c/D92A2468.jpg)
NEWS ALERT: Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani. Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo. Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha saa moja unusu, umefanyika salama na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cwYe_A5VCIM/U_2UeA_E5JI/AAAAAAAGCmY/geYd641wFNE/s72-c/IMG-20140827-WA0001.jpg)
Rais Armando Guebuze Wa Msumbiji afungua Maonyesho Biashara ya Kimataifa Mjinj Maputo,Tanzania yashiriki vyema
![](http://4.bp.blogspot.com/-cwYe_A5VCIM/U_2UeA_E5JI/AAAAAAAGCmY/geYd641wFNE/s1600/IMG-20140827-WA0001.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4XguEWBKI_Y/XuUDN9fHJZI/AAAAAAALtr4/lTjcRDvYJD8P5nxOlq0cHRZWpyc8fd8jwCLcBGAsYHQ/s72-c/50bceffc-7996-47e6-b73a-f2adf8d6115f.jpg)
Dkt. Mwakyembe Apongeza Wazalendo Wanaounga Mkono Juhudi za Rais Magufuli
![](https://1.bp.blogspot.com/-4XguEWBKI_Y/XuUDN9fHJZI/AAAAAAALtr4/lTjcRDvYJD8P5nxOlq0cHRZWpyc8fd8jwCLcBGAsYHQ/s640/50bceffc-7996-47e6-b73a-f2adf8d6115f.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8cf9ac02-75c0-49f3-8f9f-014f7118e2ab.jpg)
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na Bw. Mussa Issa (kushoto) meneja wa Mtoto Romeo Asubisye (mwenye suti ya kijani) aliyekuja kumtambulisha mtoto huyo baada ya kutwaa medali takriban 09,katika mashindano mbalimbali ya kuogelea ikwemo Cana Zone Three Africa yaliyofanyika mwaka 2019 nchini Kenya
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/610ad902-76de-4171-a950-c9ed91e9017b.jpg)
9 years ago
MichuziJE WAJUA KUMSHAURI MTU KUTENDA JINAI NAYO NI JINAI ?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania