Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni rais yupi aliyevalia vyema sare za Kijeshi ?

Viongozi wa Afrika waliochaguliwa kwa msingi wa kidemokrasia wameibuka kupenda magwanda ya Kijeshi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mambo ya nje kutekeleza agizo la Rais ‘kijeshi’

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema imeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa haraka kama jeshi juu ya kuiwakilisha Serikali katika masuala mbalimbali nje ya nchi baada ya kusitishwa safari za nje kwa maofisa wote wa ndani.

 

10 years ago

Raia Mwema

Siku Rais Nyerere alipotinga kizimbani akituhumiwa Kuvamia Uganda kijeshi

WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe ajivunia kumshauri vyema Rais

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harison Mwakyembe.WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe amesema kati ya mambo anayoweza kujivunia wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya nne ni kuwa miongoni mwa washauri wazuri wa Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

GPL

NGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’

Twanga wakikamua jukwaani. Umati wa watu wakisebeneka Kalala Junior akiimba kwa hisia. Luiza Mbutu akiyarudi…

 

10 years ago

Vijimambo

SARE SARE MAUA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN

Kanye West Kim Kardashiani wakiwa wamevaa ngua zinazofanana siku ya Alhamisi mitaa ya New York City,  Jimbo la New York nchi Marekani

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME MAREKANI, HALI YAKE INAENDELEA VYEMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na  Dkt.Edward Shaeffer wa  hospitali ya Johns Hopkins (kushoto) na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi  (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ili kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo  Baltimore Maryland Marekani Jumamosi asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu  ulifanyika salama....

 

11 years ago

Michuzi

Rais Armando Guebuze Wa Msumbiji afungua Maonyesho Biashara ya Kimataifa Mjinj Maputo,Tanzania yashiriki vyema

Pichani ni ndugu frank Mwega, Afisa wa Ubalozi anayeshughulikia masuala ya biashara na uchumi (Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Diplomasia ya Kiuchumi) akimuwakilisha Mhe. Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania, Mozambique akitoa maelezo kwa Mhe. Armando Emilio Guebuza, Rais wa Jamhuri ya Mozambique kuhusu masuala ya Vivutio vya Utalii na Bidhaa zinazo zalishwa na viwanda na wajasiriamali wa Tanzania kwenye banda la Tanzania wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Maputo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani