Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kificho aunda kamati ya kumshauri

MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ameunda kamati ya watu 20 itakayomsaidia kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake ya kuandaa na kusimamia mchakato wa upitishaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe aunda Kamati ya Ajali

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeWAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameunda Kamati Maalumu iliyopewa kazi ya kuchunguza mambo mbalimbali ambayo yatasaidia kupunguza ajali za barabarani.

 

9 years ago

Mtanzania

DC aunda kamati kuchunguza mgomo

novatusNa Safina Sarwatt, Moshi

MKUU wa Wilaya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ameunda kamati tatu ya kuchunguza mgomo  baridi  wa madakatari na manesi  unaendelea katika  Hospitali ya Kibosho, wakipinga lugha chafu, ubabe unaofanywa na uongozi wa hospitali hiyo na  kucheleweshewa mishahara.

Hatua hiyo ya mkuu huyo kuunda tume imekuja mara baada ya kufanya kikao na watumishi, kutokana na kuwapo kwa malalamiko ya wagonjwa kuhusu huduma mbovu.

Akitoa agizo la kuundwa kwa kamati tatu za...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aunda kamati kusimamia usafiri

Wakati madereva wa mabasi, malori na daladala wakiendelea na mgomo katika mikoa mbalimbali kuishinikiza Serikali kutekeleza madai yao, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameunda kamati ya kudumu ya kusimamia usafiri wa barabarani.

 

10 years ago

Mwananchi

Ras aunda kamati kufuatilia madeni

Katibu tawala wa Mkoa wa Mbeya (Ras), Mariam Mtunguja ameunda kamati ya kuchunguza na kufuatilia sababu za kutolipwa kwa wazabuni wanaosambaza vyakula na vifaa vingine kwenye taasisi za Serikali.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AUNDA KAMATI KUSHUGHULIKIA USAFIRI

Waziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda. Waziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda ameunda kamati maalumu ya kudumu ya kusimamia Usafiri wa barabarani nchini ili kutatua changamoto zinazoikabali sekta ya Usafiri. Katika kamati hiyo mwenyekiti wake atakuwa katibu mkuu wa wizara ya chukuzi, Katibu akiwa kamishna wa polisi barabarani na Mkurugenzi wa SUMATRA huku wajumbe wakiwa ni pamoja na katibu mkuu wizara ya kazi ya na ajira, katibu mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

PAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI


Mh. Paul Makonda
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]

Mheshimiwa Kificho amejikuta katika wakati mgumu, akijaribu kuendesha Bunge lilotawaliwa na makundi  yenye mitazamo tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani