DC aunda kamati kuchunguza mgomo
Na Safina Sarwatt, Moshi
MKUU wa Wilaya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ameunda kamati tatu ya kuchunguza mgomo baridi wa madakatari na manesi unaendelea katika Hospitali ya Kibosho, wakipinga lugha chafu, ubabe unaofanywa na uongozi wa hospitali hiyo na kucheleweshewa mishahara.
Hatua hiyo ya mkuu huyo kuunda tume imekuja mara baada ya kufanya kikao na watumishi, kutokana na kuwapo kwa malalamiko ya wagonjwa kuhusu huduma mbovu.
Akitoa agizo la kuundwa kwa kamati tatu za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Jan
DC aunda Tume kuchunguza mauaji ya simba
MKUU wa wilaya ya Babati Khalid Mandia ameunda tume ya watu watatu wakisaidiwa na maofisa Wanyama Pori wa wilaya hiyo kuchunguza mauaji ya simba sita yaliyotokea katika kijiji cha Olasiti, kata ya Nkaiti Januari mosi mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi03 May
JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bendera aunda tume kuchunguza migodi iliyoungua
10 years ago
VijimamboDC KINONDONI AUNDA TUME HURU KUCHUNGUZA UBOVU WA BARABARA
Na Dotto Mwaibale
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameunda tume ya wajumbe saba wakiwamo wawili kutoka serikalini kwa ajili ya kuchunguza ubovu wa barabara katika wilaya hiyo.
Akizungumza na waandishi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mz6gGlhieKM/XlGNkLt1FxI/AAAAAAALe3k/78muR5Ej14gidNfwFXU44UYeJtWvFx-8gCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv68220e4836d1lsfe_800C450.jpg)
Waziri Mkuu wa Sudan aunda tume ya kuchunguza ukandamizaji dhidi ya raia
![](https://1.bp.blogspot.com/-mz6gGlhieKM/XlGNkLt1FxI/AAAAAAALe3k/78muR5Ej14gidNfwFXU44UYeJtWvFx-8gCLcBGAsYHQ/s640/4bv68220e4836d1lsfe_800C450.jpg)
Akizungumza kwa njia ya televisheni, Abdalla Hamdok amesema kuwa: Nimechukua uamuzi wa kuunda kamati ya uchunguzi kufuatia matukio ya siku mbili zilizopita.
Waziri Mkuu Hamdok amesema kuwa, Mwanasheria Mkuu Taj-Elsir Ali ataongoza kamati hiyo ya uchunguzi ambayo inapaswa kutoa ripoti yake katika kipindi cha siku saba zijazo....
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W9O2NviWmrk/VW4XD0NI_ZI/AAAAAAAHbhQ/sJotW4VT25s/s72-c/1.jpg)
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU AUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MALALAMIKO YA WANANCHI KUNYANYASWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W9O2NviWmrk/VW4XD0NI_ZI/AAAAAAAHbhQ/sJotW4VT25s/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cGTWte_2TIw/VW4XUBRgKGI/AAAAAAAHbhY/r4EVWlhSQho/s640/2.jpg)
10 years ago
Habarileo15 Sep
Mwakyembe aunda Kamati ya Ajali
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameunda Kamati Maalumu iliyopewa kazi ya kuchunguza mambo mbalimbali ambayo yatasaidia kupunguza ajali za barabarani.
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Kificho aunda kamati ya kumshauri
MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ameunda kamati ya watu 20 itakayomsaidia kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake ya kuandaa na kusimamia mchakato wa upitishaji...
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Ras aunda kamati kufuatilia madeni