DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi11 years ago
GPLMPIGIE KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA MTV MAMA
11 years ago
Bongo511 Aug
Mpigie kura Cindy Rulz ashinde tuzo za UMA’s, ‘Best International Artist’
11 years ago
GPLMPIGIE KURA ASHINDE TUZO YA 'THE WOMAN OF THE YEAR'
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA KATIKA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA 2015
11 years ago
Michuzi20 Jul
MPIGIE KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA
Baada ya BET Dimond anarejea tena nyumbani Afrika,akiwa nominated kwenye Tuzo za #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Richardson, Texas,tarehe 26 july.
akiwa nominated kwenye category 5.Best male East AfricaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (number 1 rmx)ft DavidoAnd Best Afrikan Artist of the yearIli ku-vote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni Hapa chini...
11 years ago
MichuziMahojiano ya Kwanza Production na Diamond Platnumz baada ya tuzo za BET
Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook page
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Damond Platnumz. Msanii mwenye mafanikio makubwa kutoka nchini TanzaniaAmejiunga nasi kwa njia ya simu punde baada ya kuhudhuria utoaji tuzo za BET ambako yeye alikuwa mmoja wa waliokuwa wakiwania tuzo hizo.Kazungumza mengi kuhusu TUZO HIZO.Alipopokea na alivyopokea uteuzi wake, aliloliona kwenye tuzo hizo, ulinganishaji wake katika...
9 years ago
GPL