Mpigie kura Cindy Rulz ashinde tuzo za UMA’s, ‘Best International Artist’
Rapper wa kike kutoka Tanzania, Cindy Rulz, ametajwa kuwania tuzo za Underground Music Awards, UMA’s za Marekani. Tuzo za UMA’s ni kubwa zaidi Marekani zinazolenga kuwatunza wasanii, waandishi wa nyimbo na watayarishaji wa muziki wanaojitegemea (wasio chini ya label) nchini Marekani. Cindy Rulz ni msanii pekee wa Afrika aliyetajwa mwaka huu kuwania tuzo hizo kwenye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...
11 years ago
GPL
MPIGIE KURA ASHINDE TUZO YA 'THE WOMAN OF THE YEAR'
ILI kutambua na kuthamini mchango wa wanawake katika maendeleo ya jamii yetu, Kampuni ya Global Publishers and General Enterprises Limited, inatoa tuzo kwa mwanamke ambaye katika maisha yake amefanya mambo mengi zaidi ambayo yameinufaisha jamii na kuboresha maisha ya watu. Chagua jina moja la mwanamke unayemwona anafaa kutwaa tuzo ya “The Woman Of The Yearâ€. KUPIGA KURA, LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPA: GPL...
10 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi03 Dec
11 years ago
Michuzi20 Jul
MPIGIE KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA

Baada ya BET Dimond anarejea tena nyumbani Afrika,akiwa nominated kwenye Tuzo za #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Richardson, Texas,tarehe 26 july.
akiwa nominated kwenye category 5.Best male East AfricaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (number 1 rmx)ft DavidoAnd Best Afrikan Artist of the yearIli ku-vote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni Hapa chini...
11 years ago
Michuzi
MPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO MISS GRAND INTERNATIONAL 2014

10 years ago
Vijimambo08 Oct
MPIGIE KURA MO DEWJI KUSHINDA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA #FAPOY2015


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania