Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Introducing shujaa by Tiffah, Chiku Keto, Ayler, Illumination, Natty E, Stosh, Cindy Rulz

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Mpigie kura Cindy Rulz ashinde tuzo za UMA’s, ‘Best International Artist’

Rapper wa kike kutoka Tanzania, Cindy Rulz, ametajwa kuwania tuzo za Underground Music Awards, UMA’s za Marekani. Tuzo za UMA’s ni kubwa zaidi Marekani zinazolenga kuwatunza wasanii, waandishi wa nyimbo na watayarishaji wa muziki wanaojitegemea (wasio chini ya label) nchini Marekani. Cindy Rulz ni msanii pekee wa Afrika aliyetajwa mwaka huu kuwania tuzo hizo kwenye […]

 

10 years ago

Bongo5

Mameneja tusimamieni wana Hip Hop pia — Chiku Keto

Rapper Chiku Keto amesema haelewi sababu za mameneja wengi sasa hivi kutokuwa tayari kuwasimamia baadhi ya wasanii wanaofanya Hip Hop. Rapper huyo wa kike amesema ukimya wake mwaka 2014 ulitokana na harakati zake za kutafuta menejimenti au mtu yoyote ajitokeze kusimamia kazi zake. “Kilichokuwa kinanikwamisha nilikuwa nasikilizia kama labda inaweza ikatokea mtu ambaye anaweza kunisimamia […]

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo5

New Music: Illumination — Mullah

Wimbo mpya kutoka kwa Mwanadada Illumination wimbo unaitwa “Mullah” Producer Bonny Bankx & Illumination

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Admo ft Ayler — Masawe

Video mpya kutoka kwa Admo akimshirikisha Ayler wimbo unaitwa “Masawe”

 

9 years ago

Bongo5

Music: Stosh Ft Mr. Blue — Mlete

artist_5601e5007fce55dc4e0919baa4db58492dbf.jpgRapper wakike anaye kuja vizuri anaitwa Stosh ameachia wimbo mpya unaitwa “Mlete” amemshirikisha Mr.Blue kazi imefanyika katika Studio za Kiri Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani