Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPIGIE KURA ASHINDE TUZO YA 'THE WOMAN OF THE YEAR'

ILI kutambua na kuthamini mchango wa wanawake katika maendeleo ya jamii yetu, Kampuni ya Global Publishers and General Enterprises Limited, inatoa tuzo kwa mwanamke ambaye katika maisha yake amefanya mambo mengi zaidi ambayo yameinufaisha jamii na kuboresha maisha ya watu. Chagua jina moja la mwanamke unayemwona anafaa kutwaa tuzo ya “The Woman Of The Year”. KUPIGA KURA, LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPA: GPL...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MPIGIE KURA MISS KIGAMBONI KWENYE SHINDANO LA 'NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014'

Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa  Afrika shindano hilo linaitwa "Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014" litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa...

 

11 years ago

Michuzi

mpigie kura diamond ashinde TUZO ZA MTV MAMA'S

KUPIGA KURA BOFYA HAPA KISHA FUATA MAELEKEZO

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia  76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...

 

11 years ago

Bongo5

Mpigie kura Cindy Rulz ashinde tuzo za UMA’s, ‘Best International Artist’

Rapper wa kike kutoka Tanzania, Cindy Rulz, ametajwa kuwania tuzo za Underground Music Awards, UMA’s za Marekani. Tuzo za UMA’s ni kubwa zaidi Marekani zinazolenga kuwatunza wasanii, waandishi wa nyimbo na watayarishaji wa muziki wanaojitegemea (wasio chini ya label) nchini Marekani. Cindy Rulz ni msanii pekee wa Afrika aliyetajwa mwaka huu kuwania tuzo hizo kwenye […]

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

9 years ago

GPL

WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU VITUO VYA NZASA, KENTONI, USTAWI WA JAMII NA MPAKANI 'A' JIJINI DAR

Mmoja wa wakazi wa Kijitonyama mpakani akipiga Kura yake KITUO CHA KUPIGIA KURA NZASA Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Nzasa wakiwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani