Trey Song kufanya ‘colabo’ na Wizkid, Davido
LAGOS, NIGERIA
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Song’, amesema yupo tayari kufanya kazi na mkali wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid.
Msanii huyo ambaye alikuwa nchini humo wiki iliyopita kwa ajili ya kufanya shoo kwenye mkesha wa sikukuu ya Krismasi, amesema amekuwa akivutiwa na wasanii wa Nigeria, hivyo yupo tayari kufanya nao kazi huku akitarajia kufanya na Wizkid.
“Afrika kuna wasanii wengi ambao wana uwezo wa kufanya muziki wa hali ya juu, tayari nimefanya kazi na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Trey Songz ataka kufanya kolabo na Davido
STAA wa muziki wa R&B duniani, Trey Songz, kwa sasa yupo nchini Nigeria kwa ajili ya tamasha kubwa la muziki linalofanyika kila mwaka, Lagos, Nigeria lijulikanalo kama Pepsi Rhythm Unplugged 2015 na kuweka mikakati ya kutaka kufanya kolabo na staa wa muziki nchini humo, Davido.
Trey aliyasema hayo alipokuwa akitaka kupanda jukwaani kwa ajili ya kupiga shoo katika tamasha hilo ambapo alimwagia sifa Davido na kusema kuwa ni moja kati ya wasanii anaowakubali sana kwani ameweza kuubadilisha...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Foleni ya Nigeria yamchanganya Trey Song
LAGOS, NIGERIA
MKALI wa muziki wa RnB nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Songz’, ameshangazwa na foleni ya nchini Nigeria baada ya kuwasili nchini humo kwa ajili ya kufanya shoo kwenye Sikukuu ya Krismasi.
Shoo hiyo ilipigwa kwenye ukumbi wa Eko Convention Centre, mjini Lagos, lakini baada ya msanii huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege alitumia saa 2 kutoka uwanjani hapo hadi kwenye hoteli ambayo alifikia.
“Ni mara yangu ya kwanza kuona foleni ya magari kama niliyokutana nayo Nigeria,...
9 years ago
Bongo521 Dec
Trey Songz athibitisha mbele ya mashabiki wa Nigeria juu ya collabo aliyofanya na Davido
![trey n dav](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/trey-n-dav-300x194.jpg)
Kwenye orodha ya nyimbo za album mpya ya Davido “B.A.D.D.E.S.T” ambayo ilikuwa itoke mwishoni mwa mwaka huu kabla ya kusogezwa hadi mwakani 2016, kuna wimbo ambao staa huyo wa Nigeria amemshirikisha muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz.
Licha ya kuwa aliwahi kuthibitisha kupitia Twitter, Trey Songz ambaye Ijumaa iliyopita (Dec.18) alitumbuiza Lagos, Nigeria kwenye tamasha kubwa la kila mwaka Rhythm Unplugged, mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa Trey alithibitisha kwa mara nyingine...
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Davido, Wizkid wafungiwa
LAGOS, Nigeria
SHIRIKA la Utangazaji nchini Nigeria (NBC), limetangaza kuzifungia nyimbo mbalimbali zisizo na maadili, zikiwemo za wasanii nyota wa nchini humo, Davido na Wizkid.
Wimbo wa Davido uliotangazwa kufungiwa ni ‘In Do Me’ na wimbo wa Wizkid uliofungiwa ni ‘In My Bed’, nyimbo hizo zimefungiwa kupigwa kwenye vituo vyote vya runinga na radio nchini humo kutokana na kukosa maadili kwa jamii.
Nyimbo nyingine ambazo zimefungiwa kupigwa kwenye radio na runinga nchini humo ni pamoja na...
10 years ago
CloudsFM16 Dec
DAVIDO,WIZKID WAMALIZA BIFU LAO
Mastaa wa nchini Nigeria,Davido na Wizkid wanaida kumaliza bifu lao lililodumu kwa miezi kadhaa la kutupiana vijembe kwenye mitandao na interview kadha walizofanyiwa.
9 years ago
Bongo503 Sep
Ifahamu maana ya hit song ‘Ojuelegba’ ya Wizkid (lyrics)
11 years ago
Bongo531 Jul
Iyanya awashauri Davido na Wizkid, ni kuhusu beef yao!
10 years ago
Bongo519 Sep
Davido ampongeza Wizkid kwa kutoa album mpya