Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iyanya awashauri Davido na Wizkid, ni kuhusu beef yao!

Mwimbaji aliyeshirikishwa na Diamond Platnumz katika single mpya ‘Bum bum’, Iyanya wa Nigeria ni miongoni mwa watu wanaotamani kuwaona Davido na Wizkid wanamaliza beef yao au hata wakifanya kazi pamoja. Baada ya Davido na Wizkid kurushiana vijembe kupitia twitter hivi karibuni bila kutajana majina, wakitambiana kuhusu idadi ya watu wanaoingia kwenye show zao, Iyanya nae […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)

Hivi karibuni Davido alihojiwa na kituo cha Sahara TV (Iko hapa) na kusema kuwa hana beef na Wizkid, lakini baada ya hapo waliendelea kurushiana vijembe kupitia mitandao ya kijamii. Hatimaye Wizkid naye amefanya mahojiano na mtangazaji aitwaye Olisa Adibua kupitia kipindi chake cha TV ambaye alimuuliza kuhusu beef hiyo. Kuhusu beef anzia dakika 9:20 “That […]

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni mambo matano aliyoyasema Alikiba kuhusu Davido, na mpango wa collabo yao

Ali na dav

Mwaka 2015 staa wa Nigeria, Davido alitangaza kuwa mashabiki wajiandae kupokea collabo yake na Alikiba, kitu kilichowafurahisha mashabiki wengi wa muziki hususan team Alikiba.

Ali na dav

“I have a song coming out with Alikiba too, that’s gonna be crazy” alisema Davido alipohojiwa na Millard Ayo kwenye Red Carpet ya tuzo za MTV MAMA mwaka jana 2015.

Kwa bahati mbaya hadi sasa tukiwa tayari tumeingia kwenye mwaka mpya 2016 collabo hiyo bado haijafanyika wala hakuna dalili zozote za kurekodiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond: Sina beef na Davido, watu walinielewa vibaya tu!

Kwa mara ya kwanza Diamond Platnumz amezungumzia kile kinachoaminika kuwa ni beef kati yake na msanii wa Nigeria, Davido iliyotokana na ushindi wa Idris kwenye Big Brother Africa. Akiongea na waandishi wa habari jana baada ya kuwasili jijini Kampala, Uganda kwaajili ya kutumbuiza kwenye party ya mpenzi wake mpya, Zari The Bosslady, Diamond alisema watu […]

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid, Iyanya na Waje waungana na Tanzania kusherehekea siku ya Uhuru

Davido anaweza akawa na kinyongo nasi kutokana na yaliyotokea kwenye fainali za Big Brother, lakini hiyo haimaanishi kuwa uhusiano mzuri kati ya Tanzania na Nigeria umekufa. Mastaa mbalimbali wa Nigeria wakiwemo Wizkid, Iyanya na Waje jana waliungana nasi kusherehekea siku ya uhuru wa Tanganyika. Hivi ndivyo walivyoandika: Happy independence day Tanzania! Blessings! — Wizkid Ayo […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baada ya Davido, Diamond kutoka na Iyanya

BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Number One Remix’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Davido, Wizkid wafungiwa

Davido na WizkidLAGOS, Nigeria

SHIRIKA la Utangazaji nchini Nigeria (NBC), limetangaza kuzifungia nyimbo mbalimbali zisizo na maadili, zikiwemo za wasanii nyota wa nchini humo, Davido na Wizkid.

Wimbo wa Davido uliotangazwa kufungiwa ni ‘In Do Me’ na wimbo wa Wizkid uliofungiwa ni ‘In My Bed’, nyimbo hizo zimefungiwa kupigwa kwenye vituo vyote vya runinga na radio nchini humo kutokana na kukosa maadili kwa jamii.

Nyimbo nyingine ambazo zimefungiwa kupigwa kwenye radio na runinga nchini humo ni pamoja na...

 

10 years ago

Bongo5

Tudd Thomas atengeneza ngoma zingine za Davido, Iyanya na KCEE

Producer Tudd Thomas ambaye mwaka uliopita na mwaka huu ametayarisha nyimbo kubwa barani Afrika ikiwemo ‘Number 1 remix ya Diamond Platnumz f/ Davido, Bum Bum ya Diamond aliyomshirikisha Iyanya, Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Prokoto ya Victoria Kimani, amesema kuna ngoma zitakuja alizowafanyia wasanii hao wakubwa wa Nigeria. “Kuna projects ambazo zipo under carpet sababu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani