Baada ya Davido, Diamond kutoka na Iyanya
BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Number One Remix’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo522 Jul
Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani, T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza
11 years ago
Bongo531 Jul
Iyanya awashauri Davido na Wizkid, ni kuhusu beef yao!
10 years ago
Bongo513 Oct
Tudd Thomas atengeneza ngoma zingine za Davido, Iyanya na KCEE
9 years ago
Bongo517 Dec
Linah na Feza Kessy kupanda jukwaa moja na Davido, Iyanya Lagos
![12301250_207304429604231_67909760_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301250_207304429604231_67909760_n-300x194.jpg)
Feza Kessy na Linah watapanda jukwaa moja na wasanii wa Nigeria wakiwemo M.I, Davido, Phyno, Iyanya na Runtown kwenye show ya Soundcity Urban Blast Festival 2015 Ijumaa hii.
Msanii wa Kenya, Victoria Kimani naye atatumbuiza.
“Nigeria I hope your ready cos Ive been so ready. Tanzanian angels about to rock Lagos soon. Ayeee,” ameandika Feza kwenye Instagram.
Shilole pia ameongoza na wasanii hao japo haijulikani kama naye atatumbuiza.
Feza akiwa na meneja wa Panamusiq Doreen Estazia
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Linah, Feza Kessy ndani ya jukwaa moja na Davido, Iyanya, Kiss Daniel Nigeria leo
Estelina Peter Sanga.
Na Mwandishi wetu
Wanamuziki nyota wa Bongo Fleva nchini, Estelina Peter Sanga maarufu kwa jina la Linah Sanga na Feza Kessy leo ijumaa watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii nyota wa Nigeria kama, Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide. Katika orodha hiyo wapo wasanii nyota wengine kama Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan,...
10 years ago
GPL02 Jun