Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tudd Thomas atengeneza ngoma zingine za Davido, Iyanya na KCEE

Producer Tudd Thomas ambaye mwaka uliopita na mwaka huu ametayarisha nyimbo kubwa barani Afrika ikiwemo ‘Number 1 remix ya Diamond Platnumz f/ Davido, Bum Bum ya Diamond aliyomshirikisha Iyanya, Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Prokoto ya Victoria Kimani, amesema kuna ngoma zitakuja alizowafanyia wasanii hao wakubwa wa Nigeria. “Kuna projects ambazo zipo under carpet sababu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Tudd Thomas afuata nyayo za Dr. Dre, kuingiza sokoni headphone zake ‘TTP’

Producer wa single mpya za Diamond ‘Mdogo mdogo’ na ‘Ndagushima’ ya Ommy Dimpoz, Tudd Thomas ameweka wazi kuhusu mradi wake mpya wa headphones zitakazokuwa na brand ya Beats By Thomas TTP, yaani ‘Tudd Thomas Production’. Akizungumza na tovuti ya TIMES FM, Thomas ameelezea jinsi wazo la mradi huo ambao uko jikoni lilivyozaliwa: “Wakati mimi naanza […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Kcee, Harrysong, Iyanya — Feel It

Hii ni video ya wimbo wa mastaa watatu wa Nigeria Kcee, Harrsong pamoja na Iyanya. Wimbo unaitwa Feel It.

 

9 years ago

GPL

IYANYA: TIKETI YA KCEE NDIYO ILINIFIKISHA LAGOS KWA MARA YA KWANZA

Iyanya akiwa na Kcee. Lagos Nigeria SI watu wengi wanafahamu kwamba safari ya kwanza ya Iyanya Onoyom Mbuk, kiongozi wa kundi la Made Men Music Group (Triple MG) kwenda jijini Lagos iligharimiwa na Kingsley Chinweike Okonkwo, ambaye anafahamika zaidi kama KCee. Mwimbaji huyo maarufu kwa kibao cha ‘Limpopo', ndiye aliyemleta Iyanya jijini Lagos kutoka Calabar, Jimbo la Cross River. Iyanya alifichua hilo wakati wa kuzindua...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Kcee feat. Davido — ‘Ogaranya’ (Nigeria)

Hii ni video nyingine iliyoongozwa na director Godfather aliyeishafanya kazi na wasanii wa Bongo kama AY, Diamond, Linah na Shetta. Ni video mpya ya wasanii wa Nigeria Kcee aliyemshirikisha Davido.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baada ya Davido, Diamond kutoka na Iyanya

BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Number One Remix’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema kwa...

 

11 years ago

Bongo5

Iyanya awashauri Davido na Wizkid, ni kuhusu beef yao!

Mwimbaji aliyeshirikishwa na Diamond Platnumz katika single mpya ‘Bum bum’, Iyanya wa Nigeria ni miongoni mwa watu wanaotamani kuwaona Davido na Wizkid wanamaliza beef yao au hata wakifanya kazi pamoja. Baada ya Davido na Wizkid kurushiana vijembe kupitia twitter hivi karibuni bila kutajana majina, wakitambiana kuhusu idadi ya watu wanaoingia kwenye show zao, Iyanya nae […]

 

9 years ago

Bongo5

Linah na Feza Kessy kupanda jukwaa moja na Davido, Iyanya Lagos

12301250_207304429604231_67909760_n

Feza Kessy na Linah watapanda jukwaa moja na wasanii wa Nigeria wakiwemo M.I, Davido, Phyno, Iyanya na Runtown kwenye show ya Soundcity Urban Blast Festival 2015 Ijumaa hii.

12301250_207304429604231_67909760_n

Msanii wa Kenya, Victoria Kimani naye atatumbuiza.

“Nigeria I hope your ready cos Ive been so ready. Tanzanian angels about to rock Lagos soon. Ayeee,” ameandika Feza kwenye Instagram.

Shilole pia ameongoza na wasanii hao japo haijulikani kama naye atatumbuiza.

12357796_1532490560405730_1494566873_n
Feza akiwa na meneja wa Panamusiq Doreen Estazia

Jiunge na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani