Wizkid, Iyanya na Waje waungana na Tanzania kusherehekea siku ya Uhuru
Davido anaweza akawa na kinyongo nasi kutokana na yaliyotokea kwenye fainali za Big Brother, lakini hiyo haimaanishi kuwa uhusiano mzuri kati ya Tanzania na Nigeria umekufa. Mastaa mbalimbali wa Nigeria wakiwemo Wizkid, Iyanya na Waje jana waliungana nasi kusherehekea siku ya uhuru wa Tanganyika. Hivi ndivyo walivyoandika: Happy independence day Tanzania! Blessings! — Wizkid Ayo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s72-c/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s640/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_UfMJOEQiIc/Vmpl_lWbDXI/AAAAAAAILlU/__MwgOyGPPQ/s640/AqveZdopwZHFBpiPoepzMj4VLm0Lma6XEp9hMFXY6CdU.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-T6qK-ie3y0U/Vmpl9qcON0I/AAAAAAAILlE/tuC2elMDZk4/s640/AofBcxIlfHHONd4L3WBx3D_DBxJ0YFsX4NHd4jQysETK.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoa wa Singida, waungana na wenzao kusherehekea siku kuu ya Eid El-Fitr
Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.
Imamu wa msikiti wa Utemini, Jumanne Maghasi, akisoma dua kwenye kilele cha maadhimisho ya siku kuu ya Eid...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--lsKOeovDD0/VKlVhBctbtI/AAAAAAAAO1s/Em18wynEMRg/s72-c/IMG_9336.jpg)
WAISLAMU TANZANIA WAUNGANA NA WENZAO DUNIANI KUSHEREHEKEA MAULID YA MTUME MUHAMMAD (SAW)
![](http://4.bp.blogspot.com/--lsKOeovDD0/VKlVhBctbtI/AAAAAAAAO1s/Em18wynEMRg/s640/IMG_9336.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CqDcWe85C_I/VKlViZb826I/AAAAAAAAO10/IYXRUZMDiuI/s640/IMG_9338.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-erNRg1-FaJg/VmSu7kaZcCI/AAAAAAAIKjk/mOlY_jBBNww/s72-c/bccf2cabe334e3009fd6b0adf253e47a.jpg)
10 years ago
Bongo503 Mar
Wizkid amkosha Rais wa Gambia kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo, Rais amuomba arudie show siku iliyofata
11 years ago
Bongo531 Jul
Iyanya awashauri Davido na Wizkid, ni kuhusu beef yao!
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QepgJAF9fB0/UxcnN0DsexI/AAAAAAAFROY/z2vhYGPgPQA/s72-c/download.jpg)
Mnuso MAALUM WA KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE MANGO GARDEN Jumamosi
![](http://1.bp.blogspot.com/-QepgJAF9fB0/UxcnN0DsexI/AAAAAAAFROY/z2vhYGPgPQA/s1600/download.jpg)
-Katika kusherehekea siku ya Wanawake Jumamosi hii tarehe 08-03-2014 Bendi yako PENDWA ya Twanga Pepeta ikishirikiana na Mdau wake mkubwa Christer Bella Mwingira na Rukia Saloon, kwa pamoja wameandaa bonge la Pati kwa ajili ya kusherehekea sikukuu hii. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka (pichani), mnuso huo unataraji kufanyika ndani ya Twanga City Mango Garden ambapo muonekano wake utakuwa tofauti na siku za kawaida kwa kuwa ukumbi utapambwa vilivyo.
Amesema Mavazi rasmi yatakuwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-4yuut44C-xM/Ve2KTIRouII/AAAAAAAAJdo/a5CKUmlIVOY/s72-c/labor13.gif)
Bin'adam "TENA"....Na maisha KINYUMENYUME. Apumzikaye kusherehekea SIKU YA KAZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-4yuut44C-xM/Ve2KTIRouII/AAAAAAAAJdo/a5CKUmlIVOY/s640/labor13.gif)
Mmmmmhhh!!! Umeona eeee?
Nilishaandika kuhusu kinyumenyume cha Bin-adamu katika kutenda, kunena na kuwaza. Kuwa kwanini tuwazishwe vitu kwa namna nyingine?
Kwanini nchi nyingi Afrika zisherehekee UHURU kwa staili ya gwaride kama la WAKOLONI...