Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Foleni ya Nigeria yamchanganya Trey Song

Trey SongLAGOS, NIGERIA

MKALI wa muziki wa RnB nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Songz’, ameshangazwa na foleni ya nchini Nigeria baada ya kuwasili nchini humo kwa ajili ya kufanya shoo kwenye Sikukuu ya Krismasi.

Shoo hiyo ilipigwa kwenye ukumbi wa Eko Convention Centre, mjini Lagos, lakini baada ya msanii huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege alitumia saa 2 kutoka uwanjani hapo hadi kwenye hoteli ambayo alifikia.

“Ni mara yangu ya kwanza kuona foleni ya magari kama niliyokutana nayo Nigeria,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Trey Song kufanya ‘colabo’ na Wizkid, Davido

2015 iHeartRadio Music Festival - Night 2 - ShowLAGOS, NIGERIA

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Song’, amesema yupo tayari kufanya kazi na mkali wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid.

Msanii huyo ambaye alikuwa nchini humo wiki iliyopita kwa ajili ya kufanya shoo kwenye mkesha wa sikukuu ya Krismasi, amesema amekuwa akivutiwa na wasanii wa Nigeria, hivyo yupo tayari kufanya nao kazi huku akitarajia kufanya na Wizkid.

“Afrika kuna wasanii wengi ambao wana uwezo wa kufanya muziki wa hali ya juu, tayari nimefanya kazi na...

 

9 years ago

Bongo5

Trey Songz athibitisha mbele ya mashabiki wa Nigeria juu ya collabo aliyofanya na Davido

trey n dav

Kwenye orodha ya nyimbo za album mpya ya Davido “B.A.D.D.E.S.T” ambayo ilikuwa itoke mwishoni mwa mwaka huu kabla ya kusogezwa hadi mwakani 2016, kuna wimbo ambao staa huyo wa Nigeria amemshirikisha muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz.

trey n dav

Licha ya kuwa aliwahi kuthibitisha kupitia Twitter, Trey Songz ambaye Ijumaa iliyopita (Dec.18) alitumbuiza Lagos, Nigeria kwenye tamasha kubwa la kila mwaka Rhythm Unplugged, mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa Trey alithibitisha kwa mara nyingine...

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo yamchanganya kocha Mbeya City

Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema wasihukumiwe kwa matokeo mabaya yanayotokea dimbani kwani yanamuumiza kila mtu.

 

11 years ago

Mtanzania

Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba

Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba

Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba

NA PAULINA LYAPA (TUDARCO)

MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi kikubwa cha zawadi ya fedha katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika Visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani, hali ambayo anaona inamchanganya.

Katika sherehe hiyo, mwigizaji huyo alipokea zawadi mbalimbali kutoka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, zikiwemo fedha alizokabidhiwa na kamati zilizobebwa...

 

10 years ago

GPL

‘MASSAGE’ YAMCHANGANYA IDRIS BIG BROTHER

Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother. Johannesburg, Afrika Kusini
OOIISSHH!!! Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele katika mjengo wa Big Brother huko Afrika Kusini, ndivyo ambavyo matukio mazuri na ya kimahaba zaidi yanavyozidi kutokea. Juzikati, mshikaji wetu kutoka pande hizi alijikuta akifanyiwa ‘massage’ kabambe kutoka kwa bi shosti Goitse kutoka pande za Botswana. Ishu ilikuwa hivi; Goitse...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Trey Songz — What’s Best For You

Hii ni video mpya kutoka kwa Trey Songz ngoma inaitwa “What’s Best For You”

 

9 years ago

Bongo5

Video: J.R. Ft Trey Songz — Best Friend

Hii video mpya ya rapper J.R. amemshirikisha Trey Songz wimbo unaitwa “Best Friend” Itazame hapa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Video: B.o.B Ft. Trey Songz — Not For Long

Video mpya kutoka kwa rapper B.o.B akimshirikisha Trey Songz wimbo unaitwa “Not For Long”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani