Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: J.R. Ft Trey Songz — Best Friend

Hii video mpya ya rapper J.R. amemshirikisha Trey Songz wimbo unaitwa “Best Friend” Itazame hapa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Trey Songz — What’s Best For You

Hii ni video mpya kutoka kwa Trey Songz ngoma inaitwa “What’s Best For You”

 

10 years ago

Bongo5

New Video: B.o.B Ft. Trey Songz — Not For Long

Video mpya kutoka kwa rapper B.o.B akimshirikisha Trey Songz wimbo unaitwa “Not For Long”

 

9 years ago

Bongo5

Video: Trey Songz – Blessed

d81tBPh

Trey Songz is feeling “Blessed.” The R&B crooner reflects on an incredible 2015 in the video for his new song. The black-and-white clip starts with an emotional phone call between Trey and a family member. He then gives us a glimpse into his life over the past year, traveling across the globe—from London to Dubai—sailing on yachts with scantily-clad ladies, and partying with friends like Future and Timbaland.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

9 years ago

MillardAyo

Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video).

Baada ya kusiogeza kwetu mixtape yake mpya ‘To Whom It May Concern’ December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya ‘Blessed’ moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape  hiyo ya December 2015. Kwa sasa Trey Songz yupo studio akiwa anakamilisha muendelezo wa album yake ya mwaka 2014; […]

The post Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video). appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Trey Songz — Slow Motion

Trey Songz ni msanii mkubwa Marekani ambaye ana mashabiki wengi sana na huwa na hamu kubwa ya kusikia kipya kutoka kwake sasa ameachia hii single mpya inaitwa “Slow Motion”

 

9 years ago

Global Publishers

Trey Songz ataka kufanya kolabo na Davido

936full-trey-songzSTAA wa muziki wa R&B duniani, Trey Songz, kwa sasa yupo nchini Nigeria kwa ajili ya tamasha kubwa la muziki linalofanyika kila mwaka, Lagos, Nigeria lijulikanalo kama Pepsi Rhythm Unplugged 2015 na kuweka mikakati ya kutaka kufanya kolabo na staa wa muziki nchini humo, Davido.

davido-beardsTrey aliyasema hayo alipokuwa akitaka kupanda jukwaani kwa ajili ya kupiga shoo katika tamasha hilo ambapo alimwagia sifa Davido na kusema kuwa ni moja kati ya wasanii anaowakubali sana kwani ameweza kuubadilisha...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Wiz Khalifa feat. Trey Songz — See You Again (Remix)

Kama hukupata nafasi ya kusikiliza wimbo wa “See You Again (Remix)” Wiz Khalifa amemshirikisha hapa Trey Songoz sikiliza hapa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani