Davido ampongeza Wizkid kwa kutoa album mpya
Davido amethibitisha kuwa hana kinyongo cha mafanikio ya msanii mwenzake Wizkid ambaye wiki kadhaa zilizopita wamekuwa wakirushiana vijembe kupitia Twitter, na baadae kila mmoja kukana kutokuwa na beef na mwenzie katika mahojiano waliyofanyiwa hivi karibuni kwa nyakati tofauti. Davido ametumia akaunti yake ya Twitter kumpongeza Wizkid na P-Square ambao wameachia album zao mpya na kuwaombea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’
10 years ago
Bongo510 Sep
Wizkid kuachia album mpya aliyowashirikisha Tyga, Akon na Wale
9 years ago
Bongo522 Sep
Wizkid aahirisha tena kuachia album mpya mpaka mwakani (2016)!
9 years ago
Bongo513 Nov
R.Kelly atoa orodha ya nyimbo na cover ya album yake mpya ambayo Wizkid pia kashirikishwa
![r.kelly buffet](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/r.kelly-buffet-300x194.jpg)
Mfalme wa Rnb duniani Robert Kelly maarufu kama R.Kelly yuko mbioni kuachia album yake mpya na ya 13 aliyoipa jina la ‘The Buffet’ kabla mwaka haujaisha.
Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 15 inatarajiwa kutoka December 11.
Hii ndio album ambayo Wizkid alizungumzia alipokuja Tanzania hivi karibuni, kuwa R.Kelly alimpigia simu na kumuomba amshirikishe kwenye wimbo utakaokuwemo kwenye album yake (Ingia hapa). Wimbo ambao kashirikishwa Wizkid unaitwa ‘I Just Want to Thank You’.
Wasanii wengine...
9 years ago
Bongo527 Oct
Davido abadili mawazo ya kuachia album yake ya mpya ‘Baddest’ hadi mwakani
9 years ago
Bongo502 Nov
Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa
![davido A](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/davido-A-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo515 Dec
Video/Picha: Davido na Wizkid wakutana uso kwa uso na kula bata pamoja
9 years ago
Bongo501 Oct
Wizkid na Davido uso kwa uso kwenye tuzo za MOBO 2015 za Uingereza, hakuna msanii wa Tanzania
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Davido, Wizkid wafungiwa
LAGOS, Nigeria
SHIRIKA la Utangazaji nchini Nigeria (NBC), limetangaza kuzifungia nyimbo mbalimbali zisizo na maadili, zikiwemo za wasanii nyota wa nchini humo, Davido na Wizkid.
Wimbo wa Davido uliotangazwa kufungiwa ni ‘In Do Me’ na wimbo wa Wizkid uliofungiwa ni ‘In My Bed’, nyimbo hizo zimefungiwa kupigwa kwenye vituo vyote vya runinga na radio nchini humo kutokana na kukosa maadili kwa jamii.
Nyimbo nyingine ambazo zimefungiwa kupigwa kwenye radio na runinga nchini humo ni pamoja na...