Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REMIX YA DRAKE YA WIMBO WA WIZKID WA 'OJUELEGBA' YATAMBA KWENYE INTERNET

Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid. RAPA Drake wa Marekani majuzi amefyatua remix yake katika wimbo wa ‘Ojuelegba’ wa mwimbaji Wizkid wa Nigeria. Remix hiyo ambayo ilitumika katika onyesho lake la OVO Sound Radio, na ambayo imemjumuisha rapa wa Uingereza aitwaye Skepta, hivi sasa inatamba vilivyo katika anga za Intaneti. Hatua hiyo imewafanya nyota wengi wa muziki nchini Nigeria kumpongeza Wizkid kwa kuzidi kujiimarisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’

Superstar wa Nigeria, Wizkid ameelezea jinsi Drake alivyomtafuta kwaajili ya kufanya remix ya hit song yake ‘Ojuelegba’. Akizungumza kupitia kituo cha Empire FM cha Ghana, Wizkid amesema kuwa mawasiliano yao yalianzia Instagram baada ya Drake kumfollow, na baadae kumuomba waonane London, Uingereza ambako remix hiyo ilifanyika. Wizkid amesema baada ya kuona Drake amemfollow aliamua kumtumia […]

 

10 years ago

GPL

WIZKID: NILIMTAKA RICK ROSS KWENYE ‘REMIX’ YA ‘OJUELEGBA’ SIO DRAKE

Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid. NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, ambaye wimbo wake wa  ‘Ojuelegba’ unatamba baada ya kumshirikisha rapa Mmarekani, Drake, amesema mwanzoni alikuwa ametaka kumshirikisha rapa Rick Rose, lakini Drake ndiye aliyewahi kuwasiliana naye ili ashiriki kwenye wimbo huo. Katika mahojiano yake na vyombo vya habari, mwanamuziki huyo aliyezaliwa eneo la Surulere jijini Lagos,...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Ni heshima kubwa kwangu kuwa kwenye wimbo wa Wizkid — Asema Drake

Toka Wizkid atoe remix ya ‘Ojuelegba’ ambayo amewashirikisha Drake na Skepta, Drake hakuwahi kusema ni kitu gani kilimsukuma kufanya remix kwa mapenzi yake mwenyewe. Hatimaye Drake amezungumza na kutoa sababu za kuamua kufanya remix hiyo, katika mahojiano aliyofanya na jarida la FADER toleo lake la 100. Baada ya rapper huyo wa Canada kuulizwa endapo aliamua […]

 

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH KUKINUKISHA MAISHA CLUB LEO KATIKA UTAMBULISHO WA WIMBO WAKE MPYA 'FOR YOU'

Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’.
NGULI wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila 'Q-Chillah' leo anatarajia kutambulisha ngoma yake mpya iitwayo 'FOR YOU' ndani ya Maisha Club, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ngoma hiyo imefanyika katika studio za Mazuu Records. Shoo hiyo itasindikizwa na wanamuziki BANANA ZORO,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani