Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZKID: NILIMTAKA RICK ROSS KWENYE ‘REMIX’ YA ‘OJUELEGBA’ SIO DRAKE

Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid. NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, ambaye wimbo wake wa  ‘Ojuelegba’ unatamba baada ya kumshirikisha rapa Mmarekani, Drake, amesema mwanzoni alikuwa ametaka kumshirikisha rapa Rick Rose, lakini Drake ndiye aliyewahi kuwasiliana naye ili ashiriki kwenye wimbo huo. Katika mahojiano yake na vyombo vya habari, mwanamuziki huyo aliyezaliwa eneo la Surulere jijini Lagos,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

REMIX YA DRAKE YA WIMBO WA WIZKID WA 'OJUELEGBA' YATAMBA KWENYE INTERNET

Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid. RAPA Drake wa Marekani majuzi amefyatua remix yake katika wimbo wa ‘Ojuelegba’ wa mwimbaji Wizkid wa Nigeria. Remix hiyo ambayo ilitumika katika onyesho lake la OVO Sound Radio, na ambayo imemjumuisha rapa wa Uingereza aitwaye Skepta, hivi sasa inatamba vilivyo katika anga za Intaneti. Hatua hiyo imewafanya nyota wengi wa muziki nchini Nigeria kumpongeza Wizkid kwa kuzidi kujiimarisha...

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’

Superstar wa Nigeria, Wizkid ameelezea jinsi Drake alivyomtafuta kwaajili ya kufanya remix ya hit song yake ‘Ojuelegba’. Akizungumza kupitia kituo cha Empire FM cha Ghana, Wizkid amesema kuwa mawasiliano yao yalianzia Instagram baada ya Drake kumfollow, na baadae kumuomba waonane London, Uingereza ambako remix hiyo ilifanyika. Wizkid amesema baada ya kuona Drake amemfollow aliamua kumtumia […]

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Adele f/ Rick Ross — Hello (Remix)

Wimbo mpya wa Adele ‘Hello’ umewashika watu wengi akiwemo Rick Ross aliyeamua kuchomeka verse yake. Isikilize remix hiyo hapo chini. Salute Adele. I remixed her vibe. #anotherone #RenzelRemixes #Hello https://t.co/tSPAWTxgmL — BlackBottleBoy (@rickyrozay) October 29, 2015 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose […]

 

9 years ago

MillardAyo

Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz)

Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia… najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo za kiafrika itakuwaje??!! Hapa nimepata picha za ubunifu ambazo wanaonekana Drake, Jay Z, P Diddy, Rick Ross na Chris Brown kwenye muonekano wa nguo ambazo mara […]

The post Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz) appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: DJ Khaled f/ Usher, Rick Ross, Fabolous, & Ace Hood – ‘Hold You Down (Remix)’

DJ Khaled ameachia remix ya Hold You Down akiwasharikisha Usher, Rick Ross, Fabolous, & Ace Hood.

 

9 years ago

Bongo5

50 Cent amshtaki Rick Ross kwa kutumia beat ya ‘In Da Club’ kwenye mixtape yake

rick-ross-and-50-cent

50 Cent anamshtaki Rick Ross akitaka alipwe dola milioni 2 kwa kuitumia beat ya wimbo wake wa kitambo, ‘In Da Club.’

rick-ross-and-50-cent

50 Cent anadai kuwa Rick Ross ametumia wimbo huo bila ruhusa yake ili kuipa kiki albamu yake Black Market.

Mashtaka hayo yamekuja miezi kadhaa baada ya 50 naye kutakiwa kulipa dola milioni 5 kwa Lastonia Leviston baada ya kupost sex tape yake. Leviston ana mtoto na Rick Ross.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...

 

9 years ago

Bongo5

Ni heshima kubwa kwangu kuwa kwenye wimbo wa Wizkid — Asema Drake

Toka Wizkid atoe remix ya ‘Ojuelegba’ ambayo amewashirikisha Drake na Skepta, Drake hakuwahi kusema ni kitu gani kilimsukuma kufanya remix kwa mapenzi yake mwenyewe. Hatimaye Drake amezungumza na kutoa sababu za kuamua kufanya remix hiyo, katika mahojiano aliyofanya na jarida la FADER toleo lake la 100. Baada ya rapper huyo wa Canada kuulizwa endapo aliamua […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Rick Ross amtumia mchumba wake Lira Galore kwenye video mpya ‘Sorry’

rick-ross-sorry-video

Rick Ross ameachia video ya wimbo wake ‘Sorry’ aliomshirikisha Chris Brown ambao ulitoka mwezi uliopita.

Kwenye video hiyo Rozay amemtumia mchumba wake Lira Galore kama video model, ikiwa ni siku moja tu imepita toka rapper huyo apost video kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonesha yuko na Lira ambaye alionekana amevaa pete ya uchumba aliyovishwa na Rozay, siku chache toka zisambae taarifa kuwa wawili hao wameachana na Lira karudisha pete.

‘Sorry’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani