Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ojuelegba’ wa Wizkid watesa Ulaya

Wizkid-NA BADI MCHOMOLO

WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.

Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ifahamu maana ya hit song ‘Ojuelegba’ ya Wizkid (lyrics)

Inawezekana kuna nyimbo nyingi unazozipenda kutoka sehemu mbalimbali duniani na wakati mwingine unaziimba bila kujua maana yake, lakini nafsi inauelewa na ku-enjoy kwasababu muziki ni ‘universal language’. ‘Ojuelegba’ ya Wizkid ni miongoni mwa hit songs za Afrika zilizofanikiwa kuvuka mipaka na kupendwa hata na mastaa wakubwa duniani. Ilianzia kwa Drake aliyeamua kufanya remix, akaja Alicia […]

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’

Superstar wa Nigeria, Wizkid ameelezea jinsi Drake alivyomtafuta kwaajili ya kufanya remix ya hit song yake ‘Ojuelegba’. Akizungumza kupitia kituo cha Empire FM cha Ghana, Wizkid amesema kuwa mawasiliano yao yalianzia Instagram baada ya Drake kumfollow, na baadae kumuomba waonane London, Uingereza ambako remix hiyo ilifanyika. Wizkid amesema baada ya kuona Drake amemfollow aliamua kumtumia […]

 

10 years ago

GPL

REMIX YA DRAKE YA WIMBO WA WIZKID WA 'OJUELEGBA' YATAMBA KWENYE INTERNET

Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid. RAPA Drake wa Marekani majuzi amefyatua remix yake katika wimbo wa ‘Ojuelegba’ wa mwimbaji Wizkid wa Nigeria. Remix hiyo ambayo ilitumika katika onyesho lake la OVO Sound Radio, na ambayo imemjumuisha rapa wa Uingereza aitwaye Skepta, hivi sasa inatamba vilivyo katika anga za Intaneti. Hatua hiyo imewafanya nyota wengi wa muziki nchini Nigeria kumpongeza Wizkid kwa kuzidi kujiimarisha...

 

10 years ago

GPL

WIZKID: NILIMTAKA RICK ROSS KWENYE ‘REMIX’ YA ‘OJUELEGBA’ SIO DRAKE

Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid. NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, ambaye wimbo wake wa  ‘Ojuelegba’ unatamba baada ya kumshirikisha rapa Mmarekani, Drake, amesema mwanzoni alikuwa ametaka kumshirikisha rapa Rick Rose, lakini Drake ndiye aliyewahi kuwasiliana naye ili ashiriki kwenye wimbo huo. Katika mahojiano yake na vyombo vya habari, mwanamuziki huyo aliyezaliwa eneo la Surulere jijini Lagos,...

 

9 years ago

MillardAyo

#NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video)

Kama ni mfatiliaji wa muziki wa Bongo Tanzania basi hii nayo inakuhusu… rapper Wakazi kaipenda ‘Ojuelegba‘ ya kijana wa Nigeria, Wizkid na kaamua kuingia studio kuisuka yake ambayo kaibatiza jina la ‘Natokea Dar’. Kama haijakufikia basi unakaribishwa na wewe kuucheki ubunifu wa rapper wakazi kwenye ‘Ojuelebga Refix‘, video ya dakika 3:44 Unataka kutumiwa MSG za […]

The post #NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video) appeared first...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Ojuelegba’ ni msoto niliopitia maishani

Hata mbuyu ulianza kama mchicha! Unapotaka kujua ukweli kwa kauli hii msikilize Wizkid, mkali wa wimbo “Ojuelegba” ambaye ameamua kuweka bayana ukweli kuhusu maisha yake kabla ya kuwa nyota katika muziki. “Ojuelegba” ni jina la wimbo ambao mastaa wa Hollywood wameukubali na kuamua kuufanyia remix.

 

10 years ago

Bongo5

Music: Wakazi — Natokea Dar (Ojuelegba Refix)

Rapper Wakazi ametoa wimbo huu mpya unaitwa “Natoke Dar” (Ojuelegba Refix) Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Wakazi – Natokea Dar (Ojuelegba Refix)

20151224043649

Here is Wakazi’s Ojuelegba Flip dubbed “Natokea Dar” which just like Wizkid’s original, he gives tales of the neighborhood he is from in a realistic narrative.

The bilingual emcee talks of his upbringing as well as the tales of the streets that captures an average joe’s day to day life.The video was directed by Mecky Kaloka, and shot entirely on location in the streets of Dar es Salaam.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani