‘Ojuelegba’ ni msoto niliopitia maishani
Hata mbuyu ulianza kama mchicha! Unapotaka kujua ukweli kwa kauli hii msikilize Wizkid, mkali wa wimbo “Ojuelegba†ambaye ameamua kuweka bayana ukweli kuhusu maisha yake kabla ya kuwa nyota katika muziki. “Ojuelegba†ni jina la wimbo ambao mastaa wa Hollywood wameukubali na kuamua kuufanyia remix.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
DEKULA KAHANGA ‘VUMBI’: Baada ya msoto, sasa alia kivulini Sweden
DEKULA Kahanga ‘Vumbi’, Aprili 4, mwaka huu, alitimiza miaka 52 ya kuzaliwa kwake. Alizaliwa katika Kijiji cha Lumera, Wilaya ya Kivu, kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Ni...
9 years ago
Mtanzania28 Aug
‘Ojuelegba’ wa Wizkid watesa Ulaya
![Wizkid-](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Wizkid--300x216.jpg)
WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.
Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.
9 years ago
Bongo524 Dec
New Video: Wakazi – Natokea Dar (Ojuelegba Refix)
![20151224043649](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151224043649-300x194.jpg)
Here is Wakazi’s Ojuelegba Flip dubbed “Natokea Dar” which just like Wizkid’s original, he gives tales of the neighborhood he is from in a realistic narrative.
The bilingual emcee talks of his upbringing as well as the tales of the streets that captures an average joe’s day to day life.The video was directed by Mecky Kaloka, and shot entirely on location in the streets of Dar es Salaam.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...
9 years ago
Bongo507 Oct
Music: Wakazi — Natokea Dar (Ojuelegba Refix)
9 years ago
Bongo503 Sep
Ifahamu maana ya hit song ‘Ojuelegba’ ya Wizkid (lyrics)
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Mjasiriamali anayepingana na kushindwa maishani
9 years ago
Bongo528 Sep
Wizkid aelezea jinsi Drake alivyomtafuta Instagram na kupanga kufanya remix ya ‘Ojuelegba’
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Watoto wanahitaji watu wa kuwaiga maishani