Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara Aelezea Kuguswa Kwake na Walemavu

Nimetumia kipaji changu,kuonesha thamani ya walemavu kwenye jamii,nimefanya filamu zaidi ya 20 kabla na baada ya kupata walemavu wa mgumu,hii inaonesha nimekua nikiguswa tangu zamani na ndio sababu ya kuingia kwenye siasa ili niweze kupaza sauti zisizosikika kwa muda mrefu

Wastara Juma “@wastara84” on instagram

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hii ni Ajali ya 9 kwa Wastara, Aelezea Jinsi Ilivyotokea

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma jumapili usiku amepata ajali ya gari maeneo ya Tabata Magengeni akitokea Mwananyamala alipokuwa anaongea na wasanii wenzake.

Wastara anasema siku hiyo gari yake aina ya toyota canal alikua anaendesha meneja wake Bond Bin Sinnan na walipofika maeneo ya Tabata magengeni gafla alishangaa gari Bond anafunga ‘breki’ na gari likaanza kuzunguka na yeye kujigonga gonga kwenye gari kwaku hakufunga mkanda.

"Mimi nilikua sielewi kitu niliona tu gari linazunguka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Changamoto za Walemavu Ndiyo Sababu Kubwa ya Wastara Kuingia Kwenye Siasa

Naitwa Wastara Juma kama watanzania wenzengu mnavyonifahamu mimi ni muigizaji wa filamu na kazi nyingine zinazohusiana na kiwanda cha filamu. leo niongee kitu ili watanzania wenzangu muelewe kwanini nimeamua kujiingiza kwenye siasa, kikubwa kilichonisukuma kuingia kwenye siasa ni jambo moja kubwa sana kwangu ambalo ni (WALEMAVU) .

Huwezi kusimulia uchungu wa mwana wakati haujawahi kuzaa huwezi kumzunguzia au kumtetea mlemavu hali ya kuwa hujui uchungu, matatizo na maumivu yake,, Mpaka sasa...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndio Mchango wa Lulu Baada ya Kuguswa na Maswahibu Anayopitia Msanii Mabeste

“Dah...Nimeguswa sana Sana na Story na huyu kaka....
Nadhani wengi wetu tunamjua au tumeshawahi kumsikia....anaitwa MABESTE ni mwanamziki..!
Kwanza,naweza kusema ni mwanaume wa aina yake...mwenye mapenzi ya Kweli kwa mke wake na familia yake....kwa umaarufu angeweza kumuacha mkewe anauguzwa hata na familia yake,angeweza kuleta kujulikana katika ndoa yake,angeweza kumuacha mkewe anateseka na akatafuta mwanamke mwingine wa Kuwa nae.

Lakini badala yake ameonyesha moyo wa upendo na...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hizi ni baadhi ya jumbe za baadhi ya Wasanii wa Bongo movies wakionyesha kuguswa na wimbi la mauaji ya ndungu zetu wenye ulemavu wa ngozi

Shamsa Ford:

“Yaani hata sijui nisemeje maana kila nikifikilia mwanadamu anayefanya ukatili huu wa kuwaua walemavu wa ngozi naumia sana.kikubwa naomba Mungu wote wanaohusika na huu unyama wakamatwe.. inshaallah Mwenyezi Mungu atasimamia kwa hili”.

Riyama Ally:

“Kiukweli siwezi kulala leo bila kusema haya nitakayosema.. hawa ni wenzetu na wanastahili tabasamu zaidi ya wanalolitoa wenyewe wanahitaji mapenzi yetu ya ziada.. lakini wapi binaadamu wenye uchu na tamaa za madaraka, pesa,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa Freemason aelezea alivyochumbia

Kifo cha baba yangu kiliniuma sana. Uhusiano wetu ulikuwa wa namna ambayo hata vijana wa siku hizi au jamii ya Lohana wasingeweza kuelewa. Upendo wangu kwa mama ulikiwa usio na masharti.

 

11 years ago

Mwananchi

Ramadhan aelezea ubingwa wake

Bingwa wa medali ya dhahabu wa mbio ndefu za Bamako Marathon, Samson Ramadhan amesema alimpa nafasi kubwa ya kushinda mpinzani wake David Nthiga wa Kenya aliye kuwa mbele tangu mwanzo wa mbio hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi Freemason aelezea alivyofunga ndoa (3)

Jana mwandishi wa makala haya, Sir Andy Chande alisimulia namna alivyofunga ndoa ya kifahari na mchumba wake Jayli nchini Uganda. Baada ya harusi walipanda ndege kwenda Nairobi na Mombasa kuwasalimia baadhi ya ndugu na marafiki walioshindwa kuhudhuria sherehe hiyo. Sasa endelea…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani