Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI

 Mtoto Mwidini Ligubuga kutoka kijiji cha Mbuga akifurahia kiti chake kutoka kwa Kibaran Resources . Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo nchini Bw.  Grant Pierce, na kulia ni Mkurugenzi Mkuu  Bw. Andrew Spinks 

 Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mahenge Bw. Furaha Lilongeri akimbeba Mtoto Magdalena Nwira kutoka kijiji cha Kichanganyi kupokea kiti chake. Mkurugenzi wa Kibaran Resources Grant Pierce anasaidia kukitayarisha hicho kiti.Watoto Mahenge wakipokea viti kutoka kwa kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

MSAADA WA BAISKELI YA WALEMAVU TOKA MAREKANI‏

Baiskeli ya walemavu iliyotolewa na msamalia mwema wa Maryland Marekani, Joyce Rwehumbiza kwenda kwa Bibi Scholastica Mhagama mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma. Bibi Scholastica Mhagama (76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.…

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MIAKA 15 YA TAMASHA LA PASAKA YAENDELEA KUNOGA,BAISKELI 100 KUTOLEWA KWA WALEMAVU MIKOA KUMI

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa Msama Promotion imepanga  kuwanunulia baiskeli  100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa...

 

9 years ago

Habarileo

Tenisi walemavu waomba msaada

TIMU ya taifa ya tenisi kwa upande wa walemavu, imewataka wadau mbalimbali kuwaunga mkono na kuwasaidia vifaa vya michezo waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wa ukoma Tanga waomba msaada

KAMBI ya wazee wenye ulemavu wa ukoma iliyopo Msufini Kata ya Ngomeni wilayani hapa, Mkoa wa Tanga inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vitanda hali inayosababisha kulala chini. Wakizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

‘Msifiche watoto walemavu’

TAASISI ya Tiba ya Mifupa (MOI) imewataka wazazi wenye watoto wadogo wenye matatizo ya miguu na mikono iliyopinda kuachana na mila potofu kwa kuwaficha, badala yake wawahishe hospitali ili kupata matibabu na kukua vizuri.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kanisa la Methodist latoa msaada kwa walemavu Chato

1

Mchungaji wa kanisa la Methodist Huru Tanzania (FMCT), Conrad Edimud Bitoye (kulia) akikabidhi msaada wa nafaka na vitu mbalimbali kwa Katibu wa Chama cha walemavu mkoa wa Geita Sokolo Samweli.

2

Deborah Bookher akizindua rasmi kisima cha bomba katika kijiji cha Ibondo kata ya Buseresere wilayani Chato.

3

Deborah Bookher akishiriki chakula cha pamoja na walemavu.

Na Alphonce Kabilondo, Chato

KANISA la Methodist Huru Tanzania (FMCT) Jimbo la Geita mkoani Geita limetoa msaada wa nafaka mchele...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA KWA KUNDI LA WALEMAVU‏

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba  akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za Binadamu na Maendeleo Watu wenye Ulemavu (HREDP), kwa ajili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wajasiriamari, katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi Buguruni Viziwi jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani