MAANDALIZI YA MIAKA 15 YA TAMASHA LA PASAKA YAENDELEA KUNOGA,BAISKELI 100 KUTOLEWA KWA WALEMAVU MIKOA KUMI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Zds5s2Ww4Ho/VOSRy0-vC9I/AAAAAAAC0F0/-XfNfpT7OWA/s72-c/_MG_4711.jpg)
Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa Msama Promotion imepanga kuwanunulia baiskeli 100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Mikoa ya Shinyanga na Mwanza yaendelea na ubabe mbio za baiskeli
Mshindi wa mbio za Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge, Masunga Duba aliyeinua mikono akishangilia mara baada ya kumaliza mbio hizo akiwa mbele ya wenzake. Mshindi huyo anatoka mkoa wa Shinyanga.
Mmoja wa washiriki wa mbio hizo akinywa maji wakati wa mashindano hayo.
Washiriki wa mbio za Acacia tufanikiwe pamoja lake zone cycle challenge wakimenyana vikali wakati wa mashindano hayo.
Makamu wa rais wa Kampuni ya Uchimbaji wa dhahabu ya Acacia, Deo Mwanyika (wa kwanza...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LdLIixoMbrc/VYFj1-oUeMI/AAAAAAAHgeg/oC0tVa1g4KU/s72-c/image001.jpg)
MIKOA YA SHINYANGA NA MWANZA YAENDELEA UBABE MBIO ZA BAISKELI
Washiriki wa mbio za baiskeli zijulikanazo kama “Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge” kutoka mikoa ya Shinyanga na Mwanza wameendelea kuudhihirisha umma wa wakazi wa kanda ya ziwa na watanzania kwa ujumla kuwa mpaka sasa hawana mpinzani baada ya washiriki wa mbio hizo kuibuka kidedea katika fainali za kumtafuta mshindi wa kanda hiyo.
Washiriki wa mikoa hii miwili wamejinyakulia nafasi zote za juu na hivyo kuwashinda wenzao wa mikoa mingine ya Kanda ya...
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Maandalizi Tamasha la Pasaka yamvutia Mfutakamba
NA ELISHEBA NDIJENYEN, TUDARCO
MLEZI wa Tamasha la Pasaka, ambaye pia ni Mbunge wa Igalula kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Athumani Mfutakamba, amevutiwa na maandalizi mazuri ya tamasha la mwaka huu.
Waandaaji wa tamasha hilo, Kampuni ya Msama Promotion ya Dar es Salaam, wamepanga mwaka huu liwe tamasha la aina yake kwa ajili ya kusherehekea miaka 15 tangu lianzishwe.
Akizungumza Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama, alisema...
11 years ago
Michuzi12 Mar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qsTrbvO5w6BLkMBc5P*l9xjWewpSkWjcVoufU1rpUILN0PBnUT0wVzyRpNzqsstZR7qHtvWC*JLdbufhUkMhk8h/p.txt.jpg?width=650)
TAMASHA LA PASAKA LASAMBAA MIKOA 17
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Mashabiki Tamasha la Pasaka kuchagua mikoa
WAKATI Tamasha la Pasaka linatarajia kufanyika kwenye mikoa mbalimbali mwaka huu hapa nchini, mashabiki ndio watachagua mikoa litakakofanyika. Mfumo huo utasaidia mashabiki wa mikoani kuteua mikoa yao ifikiwe na tamasha...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Mikoa saba yalitaka Tamasha la Pasaka
MIKOA saba imeomba kuandaa Tamasha la Pasaka linalofanyika kila mwaka. Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, kumekuwa na maombi mengi ya...