Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki Tamasha la Pasaka kuchagua mikoa

WAKATI Tamasha la Pasaka linatarajia kufanyika kwenye mikoa mbalimbali mwaka huu hapa nchini, mashabiki ndio watachagua mikoa litakakofanyika. Mfumo huo utasaidia mashabiki wa mikoani kuteua mikoa yao ifikiwe na tamasha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAMASHA LA PASAKA LASAMBAA MIKOA 17

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Alex Msama.
Na Mwandishi Wetu
IDADI ya mikoa ambayo imeomba iandae onesho la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka, sasa imefikia 17 kwa mujibu wa waandaaji. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama ilisema kuwa idadi hiyo ni kubwa na haijawahi kutokea tangu walipoanzisha tamasha lao mwaka 2000. “Tumepokea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mikoa saba yalitaka Tamasha la Pasaka

MIKOA saba imeomba kuandaa Tamasha la Pasaka linalofanyika kila mwaka. Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, kumekuwa na maombi mengi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mikoa 7 yaomba kuandaa Tamasha la Pasaka

Na Mwandishi Wetu
MIKOA sita imeomba kuandaa Tamasha la Pasaka mwaka huu.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kumekuwa na maombi mengi sana ya wadau wanaotaka tamasha hilo.
Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (pichani) alisema kwa sasa wanashughulikia vibali vya tamasha hilo na wala si vinginevyo.
“Yapo maombi mengi sana, lakini akili yetu kwa sasa ni suala la kupata...

 

9 years ago

Michuzi

Mikoa yaanza kugombania Tamasha la Pasaka 2016


WANANCHI wa mikoa mbalimbali wamejitokeza kuiomba kkampuni ya Msama Promotions ianzie Tamasha la Pasaka mikoa kwao mwaka huu huku wakazi wa dare s salaam wakisisitiza libaki mkoani humo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama ameliambia Gazeti hili kuwa, tayari amepokea maombi toka kwa wananchi na mashabiki wa mikoa ya Morogoro, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Dar es Salaam wakitaka tamasha hilo lianzie kwao mwaka huu.
“Kamati yangu  inafuata taratibu za Baraza la...

 

10 years ago

Mtanzania

Mikoa yatakiwa kutuma maombi zaidi Tamasha la Pasaka

msamaNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAM

MIKOA mbalimbali nchini imetakiwa kutuma maombi zaidi kwa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Pasaka, ili kufanikisha kufana kwa tamasha hilo mwaka huu.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama, hadi sasa ni mikoa 17 imefanikiwa kutuma maombi hayo, ambapo idadi hiyo ni kubwa na haijawahi kutokea tangu walipoanzisha tamasha lao mwaka 2000.

“Tumepokea maombi ya wadau kutoka mikoa 17 wakitaka tupeleke Tamasha la Pasaka...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA PASAKA LAKONGA MIOYO YA MASHABIKI MJINI SHINYANGA‏

Mwimbaji Rose Muhando akicheza na watoto wakati alipokuwa akiimba katika Tamasha la Pasaka mjini Shinyanga jana. Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Kilahiro akiimba jukwaani huku akipigwa tafu na waimbaji wenzake wa muziki wa injili kutoka kushoto ni Grace Mwikwabe, Tumaini Njole, Faraja Ntaboba kutoka nchini…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani