Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAADA WA BAISKELI YA WALEMAVU TOKA MAREKANI‏

Baiskeli ya walemavu iliyotolewa na msamalia mwema wa Maryland Marekani, Joyce Rwehumbiza kwenda kwa Bibi Scholastica Mhagama mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma. Bibi Scholastica Mhagama (76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI

 Mtoto Mwidini Ligubuga kutoka kijiji cha Mbuga akifurahia kiti chake kutoka kwa Kibaran Resources . Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo nchini Bw.  Grant Pierce, na kulia ni Mkurugenzi Mkuu  Bw. Andrew Spinks 

 Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mahenge Bw. Furaha Lilongeri akimbeba Mtoto Magdalena Nwira kutoka kijiji cha Kichanganyi kupokea kiti chake. Mkurugenzi wa Kibaran Resources Grant Pierce anasaidia kukitayarisha hicho kiti.Watoto Mahenge wakipokea viti kutoka kwa kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA KWA KUNDI LA WALEMAVU‏

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba  akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za Binadamu na Maendeleo Watu wenye Ulemavu (HREDP), kwa ajili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wajasiriamari, katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi Buguruni Viziwi jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

GPL

‏SHULE YA MOTAMBURU MOSHI YAPATA MSAADA WA VITABU TOKA AIRTEL

 
Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwanafunzi Happnes John wa shule ya sekondari motamburu moja ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu kwa shule ya sekondari Motamburu iliyopo Rombo mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwalimu mkuu(Abel Masuki kushoto) wa shule ya sekondari motamburu baadhi ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa...

 

10 years ago

GPL

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi...

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MIAKA 15 YA TAMASHA LA PASAKA YAENDELEA KUNOGA,BAISKELI 100 KUTOLEWA KWA WALEMAVU MIKOA KUMI

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa Msama Promotion imepanga  kuwanunulia baiskeli  100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa...

 

11 years ago

Michuzi

walemavu watatu Ruangwa wakabidhiwa pikipiki aina ya bajaji toka kwa JK

Na Abdulaziz Video, Ruangwa   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhi pikipiki aina ya bajaj kwa walemavu watatu katika shughuli fupi iliyofanyika katika Kata ya Mandawa wilayani Ruangwa mkoani Lindi  Shughuli ya makabidhiano inatimiza ahadi ambayo Mheshimiwa Rais aliitoa kwa walemavu hao watatu ili kufuatia ahadi aliyooitoa Mwishoni mwa mwaka jana alipokutana nao alipokuwa katika ziara yake mkoani humo kukagua shughuli za...

 

9 years ago

Habarileo

Tenisi walemavu waomba msaada

TIMU ya taifa ya tenisi kwa upande wa walemavu, imewataka wadau mbalimbali kuwaunga mkono na kuwasaidia vifaa vya michezo waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani