Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


walemavu watatu Ruangwa wakabidhiwa pikipiki aina ya bajaji toka kwa JK

Na Abdulaziz Video, Ruangwa   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhi pikipiki aina ya bajaj kwa walemavu watatu katika shughuli fupi iliyofanyika katika Kata ya Mandawa wilayani Ruangwa mkoani Lindi  Shughuli ya makabidhiano inatimiza ahadi ambayo Mheshimiwa Rais aliitoa kwa walemavu hao watatu ili kufuatia ahadi aliyooitoa Mwishoni mwa mwaka jana alipokutana nao alipokuwa katika ziara yake mkoani humo kukagua shughuli za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MTEMVU AKABIDHI MIKOPO YA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU KWA VIKOBA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya Noah katibu Mkuu wa Saccos ya Tujikwamue ya Chang'ombe, Dar es Salaam, Itika  Mwankenja katika hafla ya Taasisi ya PFT ya kukabidhi mikopo ya magari, bajaji, pikipiki na fedha kwa vicoba mbalimbali, Temeke, Dar es Salaam juzi. Mtemvu ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Itika akiangalia wakati Mtemvu akiliwasha gari hilo.  Mtemvu akikabidhi mkopo wa bajaji kwa moja ya wana vicoba

 

11 years ago

Michuzi

Kamata kamata ya bodaboda na bajaji katikati ya jiji la Dar na utaratibu kulipia kibali maalum kwa pikipiki binafsi

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri.
Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na makampuni yanayotumia chombo hicho shilingi 500 kwa siku kila bodaboda inapoingia mjini wakidai ni tozo ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Jimbo la Singida Mjini haijawahi kutokea, waingia kwa staili ya aina yake wakitumia Bodaboda na Bajaji

DSC_0204

Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.

DSC_0232

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana , sambamba na Katibu wa Itikadi na  Uenezi Nape Nnauye,wakiwasili kwenye viwanja vya People’s Club kwenye mkutano wa hadhara kwa staili ya aina yake kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa pikipiki, bajaji unahitaji umakini

Hatua ya Serikali ya kuweka mfumo mpya wa usajili wa namba za pikipiki na bajaji ni ya kupongeza ingawa imekuja ikiwa imechelewa. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magari yaua dereva wa bajaji, pikipiki

DEREVA wa bajaj, Frank Satrun (26), mkazi wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia juzi baada ya kugongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB: Watanzania changamkieni mikopo ya pikipiki, bajaji

BENKI ya NMB imewataka Watanzania kuchangamkia mkopo wa pikipiki na bajaji, ili kupata nafuu ya usafiri na  kuweza kujiajiri kwa kutumia usafiri huo. Ofisa Mikopo wa benki hiyo, Donatila Wapalila,...

 

10 years ago

Michuzi

Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba wakabidhiwa pikipiki

Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarJumla ya Pikipiki 10 zenye thamani ya Sh.Million 42 zimegawiwa kwa Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba. Pikipiki hizo ni Msaada kutoka Shirika la Watu wa Marekani USAID kupitia Taasisi ya JSI wenye lengo la kusaidia Sekta ya Afya Zanzibar.  Akikabidhi Pikipiki hizo Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo amewataka Maafisa Waliokabidhiwa kuzitumia vyema ili kutimiza lengo lililokusudiwa. Amesema ana imani kubwa kuwa zitasaidia kwa kiasi...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA TARAFA SIMIYU WAKABIDHIWA PIKIPIKI UTEKELEZAJI AHADI YA RAIS MAGUFULI










Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimkabidhi kofia Afisa Tarafa wa Dutwa, wilayani Bariadi Bi. Isabela Nyaulingo ikiwa ni ishara ya kumkabidhi pikipiki katika tukio la makabidhiano ya pikipiki zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa Maafisa Tarafa ambazo zimekabidhiwa Mei 08, 2020 Mjini Bariadi.

Baadhi ya pikipiki zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa Maafisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani